Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Halafu utakuta ni mzinifu ni mwizi ni fisadi ni mlevi ila anaona waliochora tattoo ndio wabayaMkuu, wabongo ni wajinga wanajifanya watakatifu wa Dini kuliko hata wazungu walio waletea Dini zenyewe....
Mtu anapinga tattoo kwa imani yake ya kidini anafikiri kila mtu yupo sawa na imani yake..
Kuna wabongo wana Akili za enzi ya Ujima...Mtu anataka kuhalalisha mawazo yake yawe ya jamii nzima kutokana na Hofu za imani yake.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app