Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
utawachoraje hao...uliwahi kuwaona?Labda ukichora tattoo ya malaika au Yesu ndipo utaonekana una tabia nzuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utawachoraje hao...uliwahi kuwaona?Labda ukichora tattoo ya malaika au Yesu ndipo utaonekana una tabia nzuri...
utawachoraje hao...uliwahi kuwaona?
hilo swali unajiuliza au unamuuliza nani maana wewe ndiye unataka kuwachoraUnaaminije kama walikuwepo kwanini uamini ambacho hukukishuhudia
Fckng sexy....
We unaamini uwepo waohilo swali unajiuliza au unamuuliza nani maana wewe ndiye unataka kuwachora
Naomba kuchangia gharama za hii tattooKwahiyo wazo la kuchora tattoo kwenye mkuyenge niliache?
To yeye
Si unataka mkuyenge uzungukwe na tattoos
Ukisahau ntakukumbushaKuna kisa nitakuja kukisimulia hapa siku moja
Hiki ndio wanacho fanikiwa kupandikiza agenda zao hata ushoga kwamba mbona flani ana hiki na ni mtu poa,Messi Hana tabia chafu Wala Hana makuu, halafu Kuna wenye hawana tattoo na ni wana tabia chafu hatari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaonaje ukichangia na kunipooza maumivu mara baada ya mkuyenge kuchorwa😅?Naomba kuchangia gharama za hii tattoo
Upo tayari kuoa mwanamke mwenye tattoo kuanzia kwenye matiti ,mapaja ,makalio na eneo la tupu ya mbele?Perception ya jamii kwa baadhi ya vitu hasa sisi waafrica ni changamoto kukubali
ww umeshajua?, duh chora na ww kwakuwa ni zaidi ya langoNao pia wana dark side yao, tena imejaa aibu kubwa hawataki hata ivuje, inalindwa kwa gharama kubwa mno
Ndiyo maana cr7 hajachora hago madudeKwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
Hapo tofauti zenu ni nini?Kuna mwanamke nilikuwa nakapenda kanauza bar hapo dagaadagaa kibo ,siku moja akanibless tunda lake Kweli ilikuwa ashb HV saa tano HV bas nikakavua nguo kumcheki vzr tokea takoni Hadi juu kachora tatoo ya nyokaa kichwa kinatokea kwenye shingo kwa juu aisee nilishindwa kumchakata pmj na kwamba aliniblesss jicho lake ila niluogopa Sana niliona nalal na joka mkp leo hi yule demu Ana amani na mm niliona kbsa Happ Kuna mirohoo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hayupo hata mmoja. sema kuna exceptions, mfano mtu alikuwa na maisha mabaya huko akajichora tatoo ambazo hazifutiki, baada ya kubadili maisha labda amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, zile tatoo bado anazo. same applies kwa wanawake wanaojichubua, unakuta alikuwa amejichubua hadi anakuwa kama uyoga, baadaye anarudi kwa Mungu, lakini ngozi imeshaondoka. watu wa aina hiyo haipaswi kuwahukumu na kuona kama wenye tabia mbaya.Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?