Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Tabia za uchawi ,roho mbaya wivu husuda umalaya Ni tabia za Asili Hazina uhusiano na Tatoo

Mfano Mimi Nina Dada zangu wanavaa ushungi lakini kwao umalaya Uzinzi ni Jambo la kawaida Sana , hivyo Mimi nadhani hukosefu wa MAARIFA ndo unamfanya kuwa na tabia mbovu.
Mkuuu nibless namb bas za dada zako nawapenda Sana wavaaa ushungi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama sio dhambi, ubaya wake uko wapi?
Mkuu kwa sisi tunaoamini Mungu chochote alichokataza ni dhambi, haijalishi naifanya au siifanyi, siwezi tetea tattoo kwakuwa nimeichora mwilini au nikatetea uongo kwakuwa nadanganya, Tattoo ni dhambi full stop
 
Watu mnaouliza swala kama hili:-

Mkiombwa reference za katazo juu ya tattoo mnakuja na vitabu ambavyo sio universal (bible na Quraan), vipi kuhusu dini na imani nyingine (zipo nyingi tu) ambazo hazifungamani na hivyo vitabu??

Unadhani kuwa hicho unachokiamini ni universal??
Mkuu hapa tunaipinga tattoo kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu tunaemuamini
 
The nicest people I have ever met are covered in tattoos and piercings, while the most judgemental people I have met go to church and mosque everyday!
 
Mkuu kwa sisi tunaoamini Mungu chochote alichokataza ni dhambi, haijalishi naifanya au siifanyi, siwezi tetea tattoo kwakuwa nimeichora mwilini au nikatetea uongo kwakuwa nadanganya, Tattoo ni dhambi full stop
Nani asiyemuamini Mungu acha ubinafsi, wote tunamuamini ila tunashangaa hayo makatazo mnayapata kwa Mungu yupi?
 
Mkuu kwa sisi tunaoamini Mungu chochote alichokataza ni dhambi, haijalishi naifanya au siifanyi, siwezi tetea tattoo kwakuwa nimeichora mwilini au nikatetea uongo kwakuwa nadanganya, Tattoo ni dhambi full stop
Kwanini mnaomuamini Mungu kupitia vitabu viwili Bible& Quraan (mimi nikiwemo) tunaamini kuwa tattoo ni dhambi, hilo nakubali.

Lakini Je vipi jamii zinazoamini uwepo wa Mungu kupitia misingi mingine ambayo si ya kutoka kwenye Bible na Quraan?

Kama kwao tattoo sio dhambi, kwanini tuwahukumu? Na kama hatuwezi kuwahukumu, je unakubali kuwa misingi na miongozo yetu ya imani (bible &Quraan) si universal??
 
Mungu anisaidie kilichofanya nisichore tattoo ni hofu ya Mungu kua nikifa ntamuambia Nini Mungu yaani naenda na ushahidi kabisa ila kukosa hvyo ningechora kipepeo kiunoni
Dyadyaaa wee choraaa, mwenyewee soon nachora kipepeo kiunoni chini ya mgongo. Na sijari wala nn
 
Unajua tatizo waafrika kila kitu tunakipima kutokana na kazi, mafanikio ya kiuchumi nk. Latin America tattoo ni jadi. Hatusikii wakiongelea mapepo sijui nini. Kama hupendi tattoo acha, wanaopenda watachora. Kuhusu Mungu, bora uhangaike kwanza na Amri 10 za Mungu kabla hujaanza kuhangaika na minor things.

Mimi ninachokataa ni watu kufanya tattoo kama ni dhambi kuu, lakin unakuta huyo mtu kila siku anafira, anaona poa hamkosei Mungu. Lakin tattoo anaona grave sin. Tunaleta unafiki wa kuchagua dhambi, zile mbaya tunazihalalisha kimya kimya, tusichokipenda hata hata kama ni minor, tunazifungia amplifier!
Ongezaaa sauti hawajasikiaaaa.
 
Mtu anipeleke huku tafadhali. Nikachorwe piko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear mie nataka tattoo enyewee, bado fundi cjampata, tena nachora kiunoni, mbelee na nyuma, [emoji1652].
 
Back
Top Bottom