Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hii mada utapigwa sana mawe aiseeKwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA