Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
MUNGU hajawahi kukosea uumbaji kamwe!Bro, mimi baada ya kumaliza form four, enzi zile likizo ya Mkapa, nikachora tatoo, kabla ya hapo nilikuwa mtoto mzuri kabisa, ila baada ya matatoo, nikajikuta sitaki tena kushiriki ibada, nikawa kampani yangu masela, nilianza kujifunza sigara, kisha nikarukia kwenye bangi, baadae nikapotea kabisa.
Mwenendo wangu ukapotea na sikuweza kuendelea tena na masomo.
Baada ya miaka mingi kupita ndio nimeweza kurudi kwenye mstari, baada ya mateso makubwa na kupita the most difficult and hard way