Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Nilivyokua nakua nilipata habari ya Kibwetele nilishangaa sana maana walikua waumini wengi sana aliowachoma moto na yeye kutokomea na mali kusikojulikana...hili tatizo lipo kote na tatizo ni Elimu mtu mwenye Elimu yake sawa sawa hawezi kuwa mjinga kiasi hicho cha kufata mkumbo...
 
Kuna watu wana PhD lakini wanapigwa kiboya tu.
Ukiwa extremist unapigwa tu. Kuwa na kiasi, hoji, dadisi, tafiti, fanya maamuzi sahihi
 
Majina ya Kiafrika ndiyo majina mazuri, na ndio fahari yetu. Majina ya kigeni yameletwa na tamaduni haramu zilizo tupeleka utumwani. Nalionea fahari sana jina langu
 
Wewe kinachokuuma hasa nini..kaa kutulia injili ienezwe..watu waokolewe..waondokane na majini na mashetwani..


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ya wavaa suicide vest..wakuiamini hii ni punguani wa akili.

Bora nikatambike makaburini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa nakujua ni dhihaka kwa Uislamu kwenda mbele
kwani ukiendelea kutambika uko makaburini mwisho wa siku nani atakayeenda kuchomwa moto ni mimi au wewe?

Sisi tunawalingania kwenye Usawa hamtaki dharau,jeuri na kiburi ndo muloweka mbele

hlf ety kutambika makaburini sasa nani kakwambia mfu tena alooza ety akusaidie ww ulohai na nguvu zako ni wajinga pekee ndio wanaoamini.

NB:Uislsmu ni dini ya kweli isiyo na shaka ndani yake.
 
Majina ya Kiafrika ndiyo majina mazuri, na ndio fahari yetu. Majina ya kigeni yameletwa na tamaduni haramu zilizo tupeleka utumwani. Nalionea fahari sana jina langu

Mimi nakupinga. Majina ya kiafrika ni majina ya kikafiri pia. Muisilamu kama muisilamu anaejitambuwa hawezi jiita jina la kiafrika/kikafiri eti kwa sababu ya utamaduni wa kiafrika na kuachana na majina ya imani yake 😁. Wakati kuna majina bora kuliko yote duniani kama vile MUHAMMAD, ABDALLAH, SALUM, SAID ABDULLATIF, ABDULQADIR, RAMADHAN, SHAABAN, RAJAB, SULEIMAN. Sasa mtu ajiite GONDWE, MAPUNDA, TATU, PILI, ISHENGOMA, RUGEMALILA, SHADRAKI, NGOLO, RUDIGER N.K, huu utakuwa wendawazimu.
 
Majina ya mateja hayo, Mwamedi a.k.a Mudi, Addalla a.k.a Dulla, Ramadhani a.k.a Rama, Shabani a.k.a Shabby, Said a.k.a Side, Rajab a.k.a Roja.
Hayo ni majina ya laana, mateja, vibaka na majambazi ndio hayo majina ya majitu ya hovyo yaliyorundikana jela.
 

https://www.facebook.com/
 
Mkuu embu ongezea maneno hapo Rais Mkapa, naweza nikaondoka nakitu??
 

Ndiyomaana nikasema nafc ya mtu inamtuma kufanya hivyo na co dini.

Majina mazuri kama haya na yenye maana nzuri, ila baadhi yao wanayatumia vibaya. Mtu anajiita dulla badala ya ABDALLAH au shabby badala ya SHAABAN unategemea atakuwa na tabia njema! Labda wachache sana. So itabakia wao na nafc yao lakini msisingizie dini.
 
Zumaridi yeye si Mchungaji, yeye ni Mungu wa wafuasi wake. "Miujiza" yake anaifanya kwa huo umungu wake na wafuasi wake humuamini kwa hilo. Niseme tu wengi wa wakristo husadiki mapema hasa linapokuja suala la miujiza. Wajanja wa kutumia mazingaombwe hupata fursa ya kuwateka kwa kutumia jina la Yesu na kujenga makanisa ambayo hupewa majina yao. Shangaa mtu anakwambia siku hizi yeye "anaabudu" kwa Mchungaji fulani. Mzee mmoja katengeneza kikombe na misururu ya watu toka kila sehemu nchini ikamiminika kwenda kunywa hicho kikombe. Hakika waache wapigike hadi akili ziwarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…