Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Nyota na mwezi maana yake nini?
Ni mapambo tuu ya mbingu
Rejea aya ifuatayo

tupo pamoja bujibuji?
20220305_191113.jpg
 
Sawa..ila wewe wakifanya kinakuuma nini baki na imani yako ya kuletewa usiyejua utokako..upo upo tu mtumwa wa akili wewe.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna anaekatwa kufanya chochote kuhusu imani yake,hata zumarid kaonewa juu ya Imani yake.Ni kutaka kuweka wazi juu ya upotoshi wa wengi kwamba mizimu ni mababu zetu waliokufa,dini za kuletewa hazisemi hivyo wala hata dini hizi za asili nazo ukataa kuhusu ili
 

Sijajua ni kwanini Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.

Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.

Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utacuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu,inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.

Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.

Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?

Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.

Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.

Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.

Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
Aliyekuambia zumaridi ni mkristu ni nani? Yeye hamtambui Yesu wala muhamed. Hatumii biblia wala Quran. Wateja wake ni ma murtad wa kiislam , kikristu na kipagani. Hata aliyesababisha hili sakata likafikia hapo ni mteja wake aliyekuwa mwislam alizama huko na mtoto wake ndio mahakama ikaamuru atolewe mtoto epelekwe shule
 
Ni mapambo tuu ya mbingu
Rejea aya ifuatayo

tupo pamoja bujibuji?View attachment 2140118
Wakristo wanaamini jua inaashiria NURU YA ULIMWENGU.

Mt 5:14-16 SUV​

Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Nyota na crescent 🌙 haiwezi kuwa mapambo tu, ni code.
 
Wakristo wanaamini jua inaashiria NURU YA ULIMWENGU.

Mt 5:14-16 SUV​

Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima. Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Nyota na crescent [emoji287] haiwezi kuwa mapambo tu, ni code.
lakini uliniuliza nyota na mwezi
hpa naona unanitilia Jua
 
wanapenda kutiwa mimba wanaeake wa kikristo hata kama kaolewa yupo tayari kuzaa na wewe
 
Kweli waache kulilia ajira, Hela ya kuchota tu kwenye mauzo ya maji ya upako.
 
Hizi dini Bana, Bora enzi zile za kuamini na kuabudu jua!
Wafuasi wake ni makanjanja! Wafia dini ndiyo kabisaaaah psychologically impaired!

Nina mtu namfahamu kapata stroke, huku analetewa visomo huku analetewa wachungaji!
Na waganga wanakuja kupiga ramli, karogwa na watu wa ofisini!
 
Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.

Je mwanamke atapewa nini?
Kuna kiongozi mmoja wa dini ya kiislam yupo huku zenji anaendesha kipindi kwenye radio cha kujibu maswali anaitwa musabaha alipoulizwa swali hilo eti akasema "hiyo ni Siri ya Mungu tuache kutaka kujua kila kitu"

Hili ni swali gumu sana kwa waislam
 
Back
Top Bottom