Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapa umejichanganya kafir mwenzangu. Huyu jamaa ni Muislamu. Ila kwa asilimia 100 anasaidiwa na makafir. Huoni hapo anaonesha ni mnafiq? Kwa nini asisaidiwe na Waislamu wenzie?Muislam anaejitambua ambae makafiri hawapendi ajitambue. Wakiristo wanapenda muislamu asiejitambua. Akijitambua basi ataandamwa
Kosa lake kukataa mkono wa mwanamke? Sio mwanamke wa kikiristo tu. Hata mtoto wa mjomba wake wa kike hapiani nae mkono. Kwa hivyo hoja yako ni mfu. Kakojoe ukalale jikoniHapa umejichanganya kafir mwenzangu. Huyu jamaa ni Muislamu. Ila kwa asilimia 100 anasaidiwa na makafir. Huoni hapo anaonesha ni mnafiq? Kwa nini asisaidiwe na Waislamu wenzie?
Ndiyo michezo yenu hiyo! Mtume wenu mwenyewe alioa mtoto ana miaka 9Matusi ya nini? Kulikuwa na makafiri wakubwa wenye fedha walikuwa hawatukani. Wewe unalala chumba pamoja na dada yako unaleta matusi
Kwahiyo Waisilamu ndio mna Nyege sana kuliko Wanaume wa Dini nyingine?Muislam anaejitambua ambae makafiri hawapendi ajitambue. Wakiristo wanapenda muislamu asiejitambua. Akijitambua basi ataandamwa
Matendo mema tu ndiyo yatakupeleka peponi wala siyo huu ujinga wa kukataa kugusa mkono wa mwanamke.Kosa lake kukataa mkono wa mwanamke? Sio mwanamke wa kikiristo tu. Hata mtoto wa mjomba wake wa kike hapiani nae mkono. Kwa hivyo hoja yako ni mfu. Kakojoe ukalale jikoni
Nchi za Kiarabu huwa zinatoa Msaada wa Tende tu tena Mwezi wa Ramazani.Hapa umejichanganya kafir mwenzangu. Huyu jamaa ni Muislamu. Ila kwa asilimia 100 anasaidiwa na makafir. Huoni hapo anaonesha ni mnafiq? Kwa nini asisaidiwe na Waislamu wenzie?
AiseeKupeana mikono watu jinsia tofauti ni dhambi haikubaliki
Kwa hiyo iliprintiwa Kwa Mungu?Wenzio makafiri yaliobobea ktk kiarabu waliambiwa kama hicho kitabu kimetungwa na binaadam basi na wao walete japo aya 1 inayofanana na Quran wameshindwa. Unaona biblia kila papa akija anakuja na version yake lkn Quran ndio ile ile
Kwani nani kasema ni kosa? Mi sijaona kama ni kosa. Hata angekataa mkono wa mwanamke wa Kikristo siyo kosa ni maamuzi. Mimi binafsi sikumbatiani na mwanamke asiye wangu. Ni maamuzi yangu tu. Hakuna aliyenikataza. Ni kama mtu anaamua kuchagua dhambi flani mbaya nyingine nzuri.Kosa lake kukataa mkono wa mwanamke? Sio mwanamke wa kikiristo tu. Hata mtoto wa mjomba wake wa kike hapiani nae mkono. Kwa hivyo hoja yako ni mfu. Kakojoe ukalale jikoni
Kwamba wanawake wanamletea mikosi ama 🤠🤠🤠
Mungu hana Printer printer zimegunduliwa juzi juzi na Wanasayansi.Kwa hiyo iliprintiwa Kwa Mungu?
Anaepusha tamaa...Kwamba wanawake wanamletea mikosi ama 🤠🤠🤠
Haha kumbe lol!Anaepusha tamaa...
Nyie viumbe ni laini sana...Haha kumbe lol!