Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Serikali ya Somalia iliipa tz 🇹🇿 biil 100 kama hongo ili iisadie Somalia iingie EA
Hata hiyo hela hawana wanasaidiwa hadi kulipa mishahara ya Wanamgambo wao wanaolinda Mageti.

Wanasaidiwa na Nchi za Kikristu kwa asilimia 100% Mwarabu anachowapelekea ni Tende mwezi wa Ramazani hapohapo anavifadhili vikundi vya Magaidi ili hilo Taifa liendelee kubaki masikini wa kutupwa.
 
Tulia dawa ikuingie jeshi la polisi kila siku linaangaika kuwanasa magaidi kama unawafahamu nenda katoe ripoti shoga wewe
Dawa gani?😁 mbona ni wewe ambae unaonekana Dawa ndio imekuingia hadi unaanza kuleta maneno maneno.😆
 
Tulia dawa ikuingie sababu swali lako nimelinibu kama ulivyo taka hasila ya nini?ugaidi inaingiaje hapa au suruali fupi?tulia dogo
Au huoni hiyo Avatar yako umeweka Miguu ya Mwarabu kavaa Suruali ndefu umeweka X Suruali fupi umetiki.

Nenda kalambe Miguu ya Waarabu usituwekee humu.
 
Wananchi wa Somalia wanashida kutuliko sisi hapa Bongo halafu viongozi wao badala ya kuja na mikakati ya kuwakwamua wanaleta Mambo ya Kipuuzi.
 
Hivyo hivyo

Fanya utakavyo iwe kiafya iwe sijui nini, ila Uislamu una sheria zake, hivyo yatupasa kufuata yale aliyotuamrisha Allah S.W

"SWALI LA 942:Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asokuwa maharim wako ?
Published By Said Al Habsy

SWALI:

Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asiokuwa maharim wako? Shukran

JAWABU

➡ Salamu ni moja miongoni mwa haki za muisilamu kwa muisilamu mwenzake.

➡ Na salamu inatakiwa iwe kwa maamkizi ya kiisilaamu, na jawabu ya salamu pia iwe hivyo hivyo.

➡ Amesema ALLAAHU S.W :
(وَإِذَا حُيِّيتُمْ بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّوا بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ حَسِيبًا)
[Surat An-Nisa 86]

Na mnapo amkiwa kwa maamkio yoyote, basi nanyi itikieni kwa yaliyo bora kuliko hayo, au rejesheni hayo hayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuhisabu kila kitu.

➡ Na salamu hiyo inatakiwa iwe kwa sauti, ili mwenye kusalimiwa apate kuisikia na kuitikia salamu hiyo.

➡ Na ni sunna kwa waisilamu kupeaana mikono katika kusalimiana ikiwa hakuna kizuizi cha kisheria au cha kawaida baina yao.

➡ Amesema mtume s.a.w :

➡Lakini hukmu ya kupeaana mikono katika salamu ina hukmu zake tofauti kwa mujibu wa wanao salimiana hao kama ifuatavyo :

➡ Inajuzu kupeaana mikono katika hali zifuatazo

1⃣Ikiwa wanao salimiana ni wanaume kwa wanaume, au wanawake kwa wanawake.

2⃣Ikiwa ni wanaume kuwasalimia wanawake ambao wao ni haramu kuwaoa kisheria Uharamu wa maisha yao mpaka kufa.
K.v :
"# Baba kwa binti yake au mjukuu wake wa kike .

#mama kwa mwanae wa kiume au mjukuu wake wa kiume.

# Na mfano wa hao miongoni mwa wanaoharamika miongoni mwa ndugu wa mama wanawake na ndugu wa kike wa baba. ..

3⃣Ikiwa mwanaume au mwanamke atasalimiwa na mtoto mdogo wa jinsia tofauti na yake kwa mikono, lakini mtoto huyo hajafikia umri wa kubaleghe, wala hatamaniwi matamanio ya nafsi.

Na bora zaidi ni kutowazoesha watoto tokea wadogo kutopeana mikono na watu wasiofaa kupeana nao mikono.

➡ Na iko kauli kuwa :
Inajuzu kupeana mkono na mwanamke aliekuwa ni mzee sana ki umri kiasi ameshakuwa hatamani tena au hatamaniwi kutokana na uzee wake.

Lakini hii ni Kauli ambayo haina hoja zenye nguvu.

➡ Mtume s.a.w amesema :

” ما مَسَّت يدُ رسولِ اللَّهِ صلَّى اللَّهُ علَيهِ وسلَّمَ يدَ امرأةٍ إلَّا امرَأةً يملِكُها
الراوي: عائشة أم المؤمنين
– المصدر: صحيح الترمذي –
الصفحة أو الرقم: 3306
خلاصة حكم المحدث: صحيح

➡ Maana yake ni kuwa :
” Haujapatapo kukamata mkono wa mtume s.a.w mkono wa mwanamke isipokuwa mwanamke ambae anaemiliki “

Ameipokea imaamu Al ttirmidhy.

➡ Na akasema pia katika hadithi kuwa :
لأن يطعن في رأس أحدكم بمخيط من حديد خير له من أن يمس امرأة لا تحل له
الراوي: معقل بن يسار المحدث: الهيثمي – المصدر: مجمع الزوائد – الصفحة أو الرقم: 4/329
خلاصة حكم المحدث: رجاله رجال الصحيح

Maana yake ni kuwa :
” Kutogwa mmoja wenu kwa sindano ya chuma katika kichwa chake ni bora kuliko kumgusa mwanamke ambae si halali kwake “

Ameipokea imaamu Al haithamy kutoka kwa miiqal bin yasaar r.a.

➡ Ni ajabu kuona wengi waisilamu wamechukulia wepesi jambo la kupeana mikono wanaume na wanawake hali ya kuwa lina hatari kubwa sana.

➡ Pia wanawake na shemeji zao wa kiume wengi wao hawajui kuwa ni haramu wao kupeana mikono katika hali hizo zote.

➡ Kadhalika binaamu na bint aamy na watoto wa wajomba na shangazi na mfano wao, pia haifai hivyo.

➡ Mwenye kuwa aliwahi kufanya hivyo anatakiwa afanye toba kwa ALLAAH S.W na aache tena kufanya hivyo.

➡ NAMUOMBA ALLAAH S.W ATUFUNDISHE YALIYO NA MANUFAA NA ATUNUFAISHE KWAYO.

ALLAAHU AALAMU.

LIMEJIBIWA NA SH. SHAABAN ALBATTAASHY
 
Ni haramu kuugusa mwili wa mwanamke ambaye si mkaribu wa damu kwako.(yaani una weza kumuoa) Hapo ndipo shetani anaingia kazini kuhamasisha matamanio na kuchapiana.

Ni muhimu kuweka kinga kuzuia virusi vya uzinzi
Mungu sio mjinga kuumba mwanaume na mwanamke na kuweka hizo hisia za mapenzi.zingine ni mbwembwe za sisi binadamu.Ata msiposhikana mikono tamaa na hisia ziko pale pale kwasababu ndivyo Mungu alivyotuumba.
 
Fanya utakavyo iwe kiafya iwe sijui nini, ila Uislamu una sheria zake, hivyo yatupasa kufuata yale aliyotuamrisha Allah S.W

"SWALI LA 942:Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asokuwa maharim wako ?
Published By Said Al Habsy

SWALI:

Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asiokuwa maharim wako? Shukran

JAWABU

➡ Salamu ni moja miongoni mwa haki za muisilamu kwa muisilamu mwenzake.

➡ Na salamu inatakiwa iwe kwa maamkizi ya kiisilaamu, na jawabu ya salamu pia iwe hivyo hivyo.

➡ Amesema ALLAAHU S.W :
(وَإِذَا حُيِّيتُمْ بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّوا بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ حَسِيبًا)
[Surat An-Nisa 86]

Na mnapo amkiwa kwa maamkio yoyote, basi nanyi itikieni kwa yaliyo bora kuliko hayo, au rejesheni hayo hayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuhisabu kila kitu.

➡ Na salamu hiyo inatakiwa iwe kwa sauti, ili mwenye kusalimiwa apate kuisikia na kuitikia salamu hiyo.

➡ Na ni sunna kwa waisilamu kupeaana mikono katika kusalimiana ikiwa hakuna kizuizi cha kisheria au cha kawaida baina yao.

➡ Amesema mtume s.a.w :

➡Lakini hukmu ya kupeaana mikono katika salamu ina hukmu zake tofauti kwa mujibu wa wanao salimiana hao kama ifuatavyo :

➡ Inajuzu kupeaana mikono katika hali zifuatazo

1⃣Ikiwa wanao salimiana ni wanaume kwa wanaume, au wanawake kwa wanawake.

2⃣Ikiwa ni wanaume kuwasalimia wanawake ambao wao ni haramu kuwaoa kisheria Uharamu wa maisha yao mpaka kufa.
K.v :
"# Baba kwa binti yake au mjukuu wake wa kike .

#mama kwa mwanae wa kiume au mjukuu wake wa kiume.

# Na mfano wa hao miongoni mwa wanaoharamika miongoni mwa ndugu wa mama wanawake na ndugu wa kike wa baba. ..

3⃣Ikiwa mwanaume au mwanamke atasalimiwa na mtoto mdogo wa jinsia tofauti na yake kwa mikono, lakini mtoto huyo hajafikia umri wa kubaleghe, wala hatamaniwi matamanio ya nafsi.

Na bora zaidi ni kutowazoesha watoto tokea wadogo kutopeana mikono na watu wasiofaa kupeana nao mikono.

➡ Na iko kauli kuwa :
Inajuzu kupeana mkono na mwanamke aliekuwa ni mzee sana ki umri kiasi ameshakuwa hatamani tena au hatamaniwi kutokana na uzee wake.

Lakini hii ni Kauli ambayo haina hoja zenye nguvu.

➡ Mtume s.a.w amesema :

” ما مَسَّت يدُ رسولِ اللَّهِ صلَّى اللَّهُ علَيهِ وسلَّمَ يدَ امرأةٍ إلَّا امرَأةً يملِكُها
الراوي: عائشة أم المؤمنين
– المصدر: صحيح الترمذي –
الصفحة أو الرقم: 3306
خلاصة حكم المحدث: صحيح

➡ Maana yake ni kuwa :
” Haujapatapo kukamata mkono wa mtume s.a.w mkono wa mwanamke isipokuwa mwanamke ambae anaemiliki “

Ameipokea imaamu Al ttirmidhy.

➡ Na akasema pia katika hadithi kuwa :
لأن يطعن في رأس أحدكم بمخيط من حديد خير له من أن يمس امرأة لا تحل له
الراوي: معقل بن يسار المحدث: الهيثمي – المصدر: مجمع الزوائد – الصفحة أو الرقم: 4/329
خلاصة حكم المحدث: رجاله رجال الصحيح

Maana yake ni kuwa :
” Kutogwa mmoja wenu kwa sindano ya chuma katika kichwa chake ni bora kuliko kumgusa mwanamke ambae si halali kwake “

Ameipokea imaamu Al haithamy kutoka kwa miiqal bin yasaar r.a.

➡ Ni ajabu kuona wengi waisilamu wamechukulia wepesi jambo la kupeana mikono wanaume na wanawake hali ya kuwa lina hatari kubwa sana.

➡ Pia wanawake na shemeji zao wa kiume wengi wao hawajui kuwa ni haramu wao kupeana mikono katika hali hizo zote.

➡ Kadhalika binaamu na bint aamy na watoto wa wajomba na shangazi na mfano wao, pia haifai hivyo.

➡ Mwenye kuwa aliwahi kufanya hivyo anatakiwa afanye toba kwa ALLAAH S.W na aache tena kufanya hivyo.

➡ NAMUOMBA ALLAAH S.W ATUFUNDISHE YALIYO NA MANUFAA NA ATUNUFAISHE KWAYO.

ALLAAHU AALAMU.

LIMEJIBIWA NA SH. SHAABAN ALBATTAASHY
Hakuna cha Allaah wala nini
 
Kama yuko sawa kwa imani ya dini sio tatizo. Na ukizingatia hakwazi wengine kwa hilo.

Hata hivyo ni jambo zuri.
 
Corona, Kipindupindu n.k
Sio kweli Netanyahu, utaambukizwa hayo magonjwa kama utakula bila kunawa.

Ni wapi uliwahi kusikia watu wameugua kipindupindu kwa sababu wameshikana mikono?
 
Back
Top Bottom