Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Huo ndio upunguani wako na ukafiri tangu lini yesu akawa muabudiwa mkiitwa makafiri mnachukia huo ndio ukafiri wenu nyiyi na waabudu mizimu tofaoti yenu nini?
Wewe unayeamini kwenye dini iliyoanza miaka 700 baada ya Yesu kuzaliwa huwezi kuniambia kitu. Quran yenyewe iliandikwa na Wakristu kisha bedui Muhammad akapewa. Lengo ilikuwa ni kupambana na dola ya Warumi ambao walikuwa wanapambana na Ukristu
 

Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
Vitabu vyote vya dini havijakataza au kukubali kushikana mikono. Kwenye quran ni hadith tu ndio kuna makatazo.
 
Vitabu vyote vya dini havijakataza au kukubali kushikana mikono. Kwenye quran ni hadith tu ndio kuna makatazo.
Labda kama umetoka kupigia punyeto huo mkono wa kulia bila kuuosha halafu ukasalimie Wanawake ndio inakuwa Haramu.
 
Kwahiyo nikikushika mkono nikawa na dhamiri njema moyoni, napata dhambi au sipati dhambi ?​
Wewe ni mwanamke ? Maana mimi ni mwanamme.
Mkuu kwenye jambo lililokatazwa dhamili njema maana yake nini.
Waislamu kupeana mikon na mwanamke ambae, unaweza kumuoa imekatazwa.
Mfano: Kusimama na mwanafunzi wa shule ya msingi/sekondary usiye na mahusiana ya karibu ya kindugu ni kosa, wewe unata, kutafuta Option tena, ikitokea sababu ya msingi itajulikana tu.
 
Tunamuabudu Yesu mwana wa Mungu aliyezaliwa kimiujuza na Bikira Maria. Huyo yesu mwana wa mariamu ni wa kwenu kwenye Quran

➡ Kwa hakika, wakristo na mayahudi itiqaadi zao ni kinyume kabisa na vitabu vya asili vilivyo teremshwa kwa mitume a.s wa zama hizo.

➡ Kwa nini Waseme kuwa kuna miunngu watatu au kuna Mungu mtoto?

Jee kusema hivyo si kukufuru?

Amesema ALLAAHU S.W :

(لَقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ ثَالِثُ ثَلَاثَةٍ ۘ وَمَا مِنْ إِلَٰهٍ إِلَّا إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۚ وَإِنْ لَمْ يَنْتَهُوا عَمَّا يَقُولُونَ لَيَمَسَّنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ)
[Surat Al-Maeda 73]

Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.
 
Sasa shosty, huyo daktari anapokutibu atakugusa kwa miguu au mikono ?​
Alafu vitu vingine ni vya kuchanga akili na kupata majibu yaliyo sahihi.
Wakati wa dharula kuna vitu, vilivyokatazwa, na kwenye mazingira ya kawaida ni aibu.
Mfano: kuwa uchi mbele ya mwanamke/mwanamme usie na uhusiano nae wakimapenzi.
Ila kuna mazingira hamna tatizo.

Hospitali doctor, Mwanamme ama mwanamke huwahudumia wateja, wa jinsi tofauti na wao, mara nyingine Wakiwa Uchi wa mnyama, hasa kwenye Operation, na matibabu mengine na mgonjwa hushikwa popote na Doctor.

Kwa mazingara hayo zambi inatoka wapi.
 
➡ Kwa hakika, wakristo na mayahudi itiqaadi zao ni kinyume kabisa na vitabu vya asili vilivyo teremshwa kwa mitume a.s wa zama hizo.

➡ Kwa nini Waseme kuwa kuna miunngu watatu au kuna Mungu mtoto?

Jee kusema hivyo si kukufuru?

Amesema ALLAAHU S.W :

(لَقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ ثَالِثُ ثَلَاثَةٍ ۘ وَمَا مِنْ إِلَٰهٍ إِلَّا إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۚ وَإِنْ لَمْ يَنْتَهُوا عَمَّا يَقُولُونَ لَيَمَسَّنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ)
[Surat Al-Maeda 73]

Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.
Quran ina miaka 1300, Biblia ina miaka 2000. Tumia akili tu utatambua nani muongo
 
Quran ina miaka 1300, Biblia ina miaka 2000. Tumia akili tu utatambua nani muongo
CCM, umri mkubwa kuliko CHADEMA NA VIAMA VINGENE VYA SIASA, LAKINI CHADEMA INAIKOSOA SERIKALI YA CCM.
HIVYO YEYOTE ANAWEZA KUWA MUONGO BILA KUJALI UMRI.
 
Ila kula ugali uliosongwa na mikono jinsia tofauti hewalaa
Ila waarabu Kama Kuna kitu wamefanikiwa ni ku brainwash Watu. Huyu mtu pengine anajifanya hataki kusalimiana na wanawake hadharani Ila huko faragha anayofanya ni huzuni tupu.
 
Uzombi tu... Tuambie amefanya jitihada gani kutatua kero za jamii hususan changmoto wanazopitia sio hizi hadithi za kitabu kilichoandikwa na mwarabu huko jangwani.
 
Juzi tu kwenye mazishi ya Alhaj Ali H Mwinyi kama uliangalia, wanaume walikuwa wakiwapa mikono wafiwa wanaume wenzao...wakifika kwa wanawake wanajishika kwenye vifua kuonesha km kutoa Pole. No handshakes
Ni unafiki tu. Hao maustadhi ndio unakuta mabingwa wa kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile halafu hadharani hawataki kugusa mkono wa mwanamke
 
"SWALI LA 942:Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asokuwa maharim wako ?
Published By Said Al Habsy

SWALI:

Nini hukmu ya kuamkia na kutoa mkono kwa asiokuwa maharim wako? Shukran


JAWABU

[emoji654] Salamu ni moja miongoni mwa haki za muisilamu kwa muisilamu mwenzake.

[emoji654] Na salamu inatakiwa iwe kwa maamkizi ya kiisilaamu, na jawabu ya salamu pia iwe hivyo hivyo.

[emoji654] Amesema ALLAAHU S.W :
(وَإِذَا حُيِّيتُمْ بِتَحِيَّةٍ فَحَيُّوا بِأَحْسَنَ مِنْهَا أَوْ رُدُّوهَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ حَسِيبًا)
[Surat An-Nisa 86]

Na mnapo amkiwa kwa maamkio yoyote, basi nanyi itikieni kwa yaliyo bora kuliko hayo, au rejesheni hayo hayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuhisabu kila kitu.

[emoji654] Na salamu hiyo inatakiwa iwe kwa sauti, ili mwenye kusalimiwa apate kuisikia na kuitikia salamu hiyo.

[emoji654] Na ni sunna kwa waisilamu kupeaana mikono katika kusalimiana ikiwa hakuna kizuizi cha kisheria au cha kawaida baina yao.

[emoji654] Amesema mtume s.a.w :

[emoji654]Lakini hukmu ya kupeaana mikono katika salamu ina hukmu zake tofauti kwa mujibu wa wanao salimiana hao kama ifuatavyo :

[emoji654] Inajuzu kupeaana mikono katika hali zifuatazo

[emoji637]Ikiwa wanao salimiana ni wanaume kwa wanaume, au wanawake kwa wanawake.

[emoji638]Ikiwa ni wanaume kuwasalimia wanawake ambao wao ni haramu kuwaoa kisheria Uharamu wa maisha yao mpaka kufa.
K.v :
"# Baba kwa binti yake au mjukuu wake wa kike .

#mama kwa mwanae wa kiume au mjukuu wake wa kiume.

# Na mfano wa hao miongoni mwa wanaoharamika miongoni mwa ndugu wa mama wanawake na ndugu wa kike wa baba. ..

[emoji639]Ikiwa mwanaume au mwanamke atasalimiwa na mtoto mdogo wa jinsia tofauti na yake kwa mikono, lakini mtoto huyo hajafikia umri wa kubaleghe, wala hatamaniwi matamanio ya nafsi.

Na bora zaidi ni kutowazoesha watoto tokea wadogo kutopeana mikono na watu wasiofaa kupeana nao mikono.

[emoji654] Na iko kauli kuwa :
Inajuzu kupeana mkono na mwanamke aliekuwa ni mzee sana ki umri kiasi ameshakuwa hatamani tena au hatamaniwi kutokana na uzee wake.

Lakini hii ni Kauli ambayo haina hoja zenye nguvu.

[emoji654] Mtume s.a.w amesema :

” ما مَسَّت يدُ رسولِ اللَّهِ صلَّى اللَّهُ علَيهِ وسلَّمَ يدَ امرأةٍ إلَّا امرَأةً يملِكُها
الراوي: عائشة أم المؤمنين
– المصدر: صحيح الترمذي –
الصفحة أو الرقم: 3306
خلاصة حكم المحدث: صحيح

[emoji654] Maana yake ni kuwa :
” Haujapatapo kukamata mkono wa mtume s.a.w mkono wa mwanamke isipokuwa mwanamke ambae anaemiliki “

Ameipokea imaamu Al ttirmidhy.

[emoji654] Na akasema pia katika hadithi kuwa :
لأن يطعن في رأس أحدكم بمخيط من حديد خير له من أن يمس امرأة لا تحل له
الراوي: معقل بن يسار المحدث: الهيثمي – المصدر: مجمع الزوائد – الصفحة أو الرقم: 4/329
خلاصة حكم المحدث: رجاله رجال الصحيح

Maana yake ni kuwa :
” Kutogwa mmoja wenu kwa sindano ya chuma katika kichwa chake ni bora kuliko kumgusa mwanamke ambae si halali kwake “

Ameipokea imaamu Al haithamy kutoka kwa miiqal bin yasaar r.a.

[emoji654] Ni ajabu kuona wengi waisilamu wamechukulia wepesi jambo la kupeana mikono wanaume na wanawake hali ya kuwa lina hatari kubwa sana.

[emoji654] Pia wanawake na shemeji zao wa kiume wengi wao hawajui kuwa ni haramu wao kupeana mikono katika hali hizo zote.

[emoji654] Kadhalika binaamu na bint aamy na watoto wa wajomba na shangazi na mfano wao, pia haifai hivyo.

[emoji654] Mwenye kuwa aliwahi kufanya hivyo anatakiwa afanye toba kwa ALLAAH S.W na aache tena kufanya hivyo.

[emoji654] NAMUOMBA ALLAAH S.W ATUFUNDISHE YALIYO NA MANUFAA NA ATUNUFAISHE KWAYO.

ALLAAHU AALAMU.



LIMEJIBIWA NA SH. SHAABAN ALBATTAASHY.
Mijamaa ipo deep sana kwenye ngono!
 
Back
Top Bottom