Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Matendo mema tu ndiyo yatakupeleka peponi wala siyo huu ujinga wa kukataa kugusa mkono wa mwanamke.

Hawa wasomali wanauaana, wanateka meli, wanalawiti halafu eti anaogopa kushika mkono wa mwanamke!! Eti ni dhambi??? Ridiculous
Kama papa anavyo ***** sio
 
mtume akua mwanasiasa alikua anapambania uislam nakueneza mafundisho ya mola..sasa shida inakuja unapokua kiongoz wa kisias alaf unatak uish kidin hapo ndo shida manak uwe wazir mkristo ukiitwa kwa waislam utakwenda uwe muislam ukiitwa kwa wakristo ht kanosan unltaenda manak we ni kiongoz wa serkal sio shekh wala padr kwaiy jamaa kaamua kua mwanasiasa anatak aende na mungu na qaesary together aiwezkan ya qaesary ampe qaesary ya mungu ampe mungu kwa upand 1 sio akae pande zote af atake aziplay
 
Siasa inapinga mafundisho ya uisilamu kwa asilimia [emoji817] ndio maana tunamuita mnafq sababu kazi yake inapinga imani ya uisilamu alafu yeye anajiita muisilamu huo ndio unafq ulio tukuka
Huyu ni Muisilamu safi. Amesiamamia mafundisho vyema
 
Ndio sababu tunazo nguvu za kiume za kutosha sio kama nyiyi msio oa kazi kuinamishwa tu
Avatar yako inathibitisha kuwa wewe ni wale Magaidi Wagomvi mnaogombana na kila Dini.

Kazi yenu ni mambo ya kijinga kijinga tu na kuvaa Suruwali NJIWA halafu ati mnajiona wajanja.
 
Huyu ni Muisilamu safi. Amesiamamia mafundisho vyema
Huyo ni Gaidi mtarajiwa hao wanaitwa Wahabi Salafi ndio wale tuliokuwa tukishuhudia wakichinja Watu huko Syria na Iraq wanawaita Waislamu wenzao "Makafiri" kabla ya Marekani kuwatia ADABU.

Na hapa Nchini Tanzania tuwe MAKINI sana na hawa SURUWALI NJIWA.
 

Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana


Ukiweka mkono kifuani inatosha, ni heshima na salamu, mkono sio lazima
 
Kitendo cha kumuabudu yesu mwana wa mariamu alie uwawa na wayahudi kisha kumtundika msalabani huo nao ni upunguani
Tunamuabudu Yesu mwana wa Mungu aliyezaliwa kimiujuza na Bikira Maria. Huyo yesu mwana wa mariamu ni wa kwenu kwenye Quran
 
Kumpa mtu mkono ina maana sana....
Hasa mara kwa mara...inahusiana na mambo ya nyota na zinaa...nakumbuka kabla ya kuokoka nilikuwa nikimsalimu boss wangu ni mwanamke na kumpa mkono mara kwa mara ......automatically tukajenga bond mwishowe nikamtindua aisee alikuwa na uchi mtam balaa mdogoo unabanaa yawezekana machine haikuguswa kwa kitambo kirefu.
 
Waliokuwa Waandishi wa Maandiko ya Dini ya Kiislamu walikuwa wanawaza Ngono Ngono tu.
 
Kwa hiyo dhambi hiyo inahusu waisilamu waliopo nchi za Kiisilamu tu?
Dhambi ya mwanaume kumgusa mwanamke anae weza kumuoa inawapa waisilamu sio wana siasa hakuna mwanasiasa muisilamu siasa inajiweka wazi kuwa serikali haina dini waziri ni serikali
 
Avatar yako inathibitisha kuwa wewe ni wale Magaidi Wagomvi mnaogombana na kila Dini.

Kazi yenu ni mambo ya kijinga kijinga tu na kuvaa Suruwali NJIWA halafu ati mnajiona wajanja.
Tulia dawa ikuingie sababu swali lako nimelinibu kama ulivyo taka hasila ya nini?ugaidi inaingiaje hapa au suruali fupi?tulia dogo
 
Huyo ni Gaidi mtarajiwa hao wanaitwa Wahabi Salafi ndio wale tuliokuwa tukishuhudia wakichinja Watu huko Syria na Iraq wanawaita Waislamu wenzao "Makafiri" kabla ya Marekani kuwatia ADABU.

Na hapa Nchini Tanzania tuwe MAKINI sana na hawa SURUWALI NJIWA.
Tulia dawa ikuingie jeshi la polisi kila siku linaangaika kuwanasa magaidi kama unawafahamu nenda katoe ripoti shoga wewe
 
Tunamuabudu Yesu mwana wa Mungu aliyezaliwa kimiujuza na Bikira Maria. Huyo yesu mwana wa mariamu ni wa kwenu kwenye Quran
Huo ndio upunguani wako na ukafiri tangu lini yesu akawa muabudiwa mkiitwa makafiri mnachukia huo ndio ukafiri wenu nyiyi na waabudu mizimu tofaoti yenu nini?
 
Back
Top Bottom