Hamtaki mtoto aende kwa Baba ila matumizi mnataka hivi mmerogwa au shida nini?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.

Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae.

Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
 
Yaani anataka uwe unatuma tu pesaya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae
Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Washakuona boya. Hebu susa kutoa matumizi uone utakavyokuwa unatoa amri kama mfalme. Nakuhakikishia utakuwa unaletewa mtoto na utakuwa unakula mbunye ya mama ake bila hata kuomba
 
Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.

Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae.

Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Kwani wewe unayo matiti ya kumuonyesha?? Acha udwanzi subiri afike umri wa kisheria
 
Washakuona boya. Hebu susa kutoa matumizi uone utakavyokuwa unatoa amri kama mfalme. Nakuhakikishia utakuwa unaletewa mtoto na utakuwa unakula mbunye ya mama ake bila hata kuomba
Kheee!😳
 
Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.

Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae.

Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Mkuu ukituma hela anaenda kununua sato mbichi au pweza anapika supu chukuchuku na ndizi then anamkaribisha EX wake wanakula kisha supu ikishuka wanakulana!! ukituma hela nzuri ana nunua kukujogoo kienyeji promax matumizi ni yaleyale kama nilivodadavua hapo juu.

Hatutumi hela labda kwa emergecy uko mbali na anaumwa kiasi kwamba huwezi hata kutuma mtu wako wa karibu hapo sawa!

Muulize mtoto anataka nini au kamaliza nini? akileta mbwelambwela mwambie mlete huku akigoma wee piga kimya!

Mahitaji nunua mwenyewe kuhusu chakula si jukumu lako peleka mahitaji ya maana unapoenda kumona tu hataki amlete
 
Mzazi anaekaa na mtoto ndie anatakiwa kubeba gharama zote za malezi ya mtoto. Kama hana uwezo au anataka mtoto apate malezi ya gharama kubwa ambayo yeye hawezi kumudu na anaona mzazi mwenzake ana uwezo huo basi ampeleke mtoto akaishi kwa huyo mzazi mwenzake
Safi 👏🏾 Sijui kwanini watu hawaelewagi hiki kitu! Watu wananishangaa kumuachia baba mtot wake na kamtaka mwenyewe! Hana hamu aisee nakaaga ata mwaka sipigi simu😐 mtu akijitia ujuaji unamuacha kwanza apate adabu!
 
Mkuu ukituma hela anaenda kununua sato mbichi au pweza anapika supu chukuchuku na ndizi then anamkaribisha EX wake wanakula kisha supu ikishuka wanakulana!! ukituma hela nzuri ana nunua kukujogoo kienyeji promax matumizi ni yaleyale kama nilivodadavua hapo juu.

Hatutumi hela labda kwa emergecy uko mbali na anaumwa kiasi kwamba huwezi hata kutuma mtu wako wa karibu hapo sawa!

Muulize mtoto anataka nini au kamaliza nini? akileta mbwelambwela mwambie mlete huku akigoma wee piga kimya!

Mahitaji nunua mwenyewe kuhusu chakula si jukumu lako peleka mahitaji ya maana unapoenda kumona tu hataki amlete
Situmi tena hela
 
Unauhakika gani huyo mtoto ni wako kama mama yake hataki umuone, umebambikiwa wewe aiseee, unaijua ile kitu kufungiwa vitumbua ndani ya box...
 
Mzazi anaekaa na mtoto ndie anatakiwa kubeba gharama zote za malezi ya mtoto. Kama hana uwezo au anataka mtoto apate malezi ya gharama kubwa ambayo yeye hawezi kumudu na anaona mzazi mwenzake ana uwezo huo basi ampeleke mtoto akaishi kwa huyo mzazi mwenzake
Umeongea point sana,hii naichukua hii.
 
Kwani mtoto huyo anakuwa hali / hapati chakula ? Kama vipi sio lazima utume pesa wewe mwambie maisha yapo tight na utumiwe matumizi ili ununue (ingawa nadhani kutuma pesa yeye anunue ni cheaper kwako na unaokoa rasilimali muda) kuliko uende shopping na kununua kama ni chakula / ingawa vitu kama school fees vinajulikana
 
Mkuu mbona kama unajua mengi nyuma ya hilo hadi umejua kama mtoto wa jamaa ananyonya. Halafu hata kama ananyonya sio kikwazo kumuona mtoto.
Wanaume wasiowajibika hao. Wanajuwa kuzalisha tu, ila ikija kwenye malezi wanataka kusaidiwa
 
Back
Top Bottom