HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Unakuta baadhi ya wamama wa mtoto wakiwa na unafuu wanatengeneza mazingira ya mtoto kuwa mbali na baba yake, cha kushangaza hali ya kiuchumi inapoyumba hapo ndio anatafutwa baba wa mtoto kutoa matumizi kwa mtoto wake. Na unakuta baadhi ya wababa hawataki tena kutoa msaada kwa watoto wao. Matokeo yake lawama zote zinapelekwa kwa baba wa mtoto hali ya kuwa tatizo lilianzia kwa mama wa mtoto