Washakuona boya. Hebu susa kutoa matumizi uone utakavyokuwa unatoa amri kama mfalme. Nakuhakikishia utakuwa unaletewa mtoto na utakuwa unakula mbunye ya mama ake bila hata kuombaUnakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.
Yaani anataka uwe unatuma tu pesaya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae
Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Kwani wewe unayo matiti ya kumuonyesha?? Acha udwanzi subiri afike umri wa kisheriaUnakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.
Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae.
Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Kheee!😳Washakuona boya. Hebu susa kutoa matumizi uone utakavyokuwa unatoa amri kama mfalme. Nakuhakikishia utakuwa unaletewa mtoto na utakuwa unakula mbunye ya mama ake bila hata kuomba
Mkuu ukituma hela anaenda kununua sato mbichi au pweza anapika supu chukuchuku na ndizi then anamkaribisha EX wake wanakula kisha supu ikishuka wanakulana!! ukituma hela nzuri ana nunua kukujogoo kienyeji promax matumizi ni yaleyale kama nilivodadavua hapo juu.Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote.
Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu mkatae.
Wanawake muache haya mambo fanyeni kazi
Safi 👏🏾 Sijui kwanini watu hawaelewagi hiki kitu! Watu wananishangaa kumuachia baba mtot wake na kamtaka mwenyewe! Hana hamu aisee nakaaga ata mwaka sipigi simu😐 mtu akijitia ujuaji unamuacha kwanza apate adabu!Mzazi anaekaa na mtoto ndie anatakiwa kubeba gharama zote za malezi ya mtoto. Kama hana uwezo au anataka mtoto apate malezi ya gharama kubwa ambayo yeye hawezi kumudu na anaona mzazi mwenzake ana uwezo huo basi ampeleke mtoto akaishi kwa huyo mzazi mwenzake
Situmi tena helaMkuu ukituma hela anaenda kununua sato mbichi au pweza anapika supu chukuchuku na ndizi then anamkaribisha EX wake wanakula kisha supu ikishuka wanakulana!! ukituma hela nzuri ana nunua kukujogoo kienyeji promax matumizi ni yaleyale kama nilivodadavua hapo juu.
Hatutumi hela labda kwa emergecy uko mbali na anaumwa kiasi kwamba huwezi hata kutuma mtu wako wa karibu hapo sawa!
Muulize mtoto anataka nini au kamaliza nini? akileta mbwelambwela mwambie mlete huku akigoma wee piga kimya!
Mahitaji nunua mwenyewe kuhusu chakula si jukumu lako peleka mahitaji ya maana unapoenda kumona tu hataki amlete
Umeongea point sana,hii naichukua hii.Mzazi anaekaa na mtoto ndie anatakiwa kubeba gharama zote za malezi ya mtoto. Kama hana uwezo au anataka mtoto apate malezi ya gharama kubwa ambayo yeye hawezi kumudu na anaona mzazi mwenzake ana uwezo huo basi ampeleke mtoto akaishi kwa huyo mzazi mwenzake
Mkuu mbona kama unajua mengi nyuma ya hilo hadi umejua kama mtoto wa jamaa ananyonya. Halafu hata kama ananyonya sio kikwazo kumuona mtoto.Kwani wewe unayo matiti ya kumuonyesha?? Acha udwanzi subiri afike umri wa kisheria
Wanaume wasiowajibika hao. Wanajuwa kuzalisha tu, ila ikija kwenye malezi wanataka kusaidiwaMkuu mbona kama unajua mengi nyuma ya hilo hadi umejua kama mtoto wa jamaa ananyonya. Halafu hata kama ananyonya sio kikwazo kumuona mtoto.
Ukizalisha ndio unyimwe kumuona mtoto?Wanaume wasiowajibika hao. Wanajuwa kuzalisha tu, ila ikija kwenye malezi wanataka kusaidiwa