October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Polisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa. Mwawapiganisha na raia Nye mwachekelea kwe mavinane hee. Mwawalipa bei ngani mpaka wawaue ndugu zao. Mayi mayi. Mwafikiri siye hatuna bongo heee. Kwa taarifa yenyu tumechoka. Na bado.