October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
D9 Ni Vita ya wahuni na wazalendo ndani ya mfumo
Leo ndo nimejua hiyo Nye huwa unamaanisha Nyieπ
Nye nyeeπHehee wee kaka sijui mbaba veepe
Hii ni ngumu kumeza kwa sababu wengi Wana uniform kutokana na hao watumia vyeeite!!Mwawapiganisha na raia
πππππHehee wee kaka sijui mbaba veepe
ππππUna mbwembwe sana we dada.
Polisi na wanajeshi wa nchi hii wanapenda na wanaona sifa kuua wananchi. Sio wa kuwaamini hata kidogoPolisi wamechoka kuwavumilia nye mazombi. Wamelalamika chinichini imetosha. Nye nye wachukiwe wao na ndugu za kisa matumbo yenyu hehee. Hamtawatumikisha tena walahi. Wanaenda kujikomboa. Mwawapiganisha na raia Nye mwachekelea kwe mavinane hee. Mwawalipa bei ngani mpaka wawaue ndugu zao. Mayi mayi. Mwafikiri siye hatuna bongo heee. Kwa taarifa yenyu tumechoka. Na bado.
Polisi na wanajeshi wa nchi hii wanapenda na wanaona sifa kuua wananchi. Sio wa kuwaamini hata kidogo
Hehee shostito wangu miyeπππππ