Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #41
🤣 🤣 🤣Ilinikuta kipindi nipo mjamzito nimekaa usiku hamu ya kula nyama ikanijia. Yaani nilikuwa napata shida hakuna kinachofanyika zaidi ya kuwaza nyama tuu. Nilijihisi kama napungukiwa na kitu mwilini.
Ilibidi mdogo wangu wa kiume aamke saa 4 usiku achinje kuku tukaanza kupika. Baada ya kuiva nilipoonja tuu nilijisikia ahueni mno kama nimetua mzigo mkubwa sana.
Daah umenikumbusha mambo ya ujauzito, nilikua napenda ndizi za kuoka zile wanazouza kwenye bar za nyama choma. Tulishawahi kwenda kuzitafuta saa tano usiku for two hours mpaka tukazipata maana kulala ilishindikana 🤣🤣🤣