Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

uthubutu unategemea na nini ulichofanyiwa ndo maana hata askari kama wakienda mission/kutumia silaha hupewa maneno ya sumu/munkari/mori so akiingia huko amna salia mtume so hatujui upande wa hamza ulikuwaje
Kada huyo wa CCM si huwa wanawapa mafunzo! Ila Siro kamwita mtu wa ovyo, kweli angekuwa wa ovyo angeweza kweli kumiliki silaha kivile. Na ile bastola nani kamilikisha kijana wa Ovyo? hapa kuna kitu kinafunikwa. Majibu ya kamanda Siro nikayasikia lazima niyageuze upande wa pili na kuyadadavua.......... yaani yapo kisiasa zaidi
 
Usimsifie Hamza. Tatizo ni polisi wetu. Wamefundishwa kuzuia maandamano ya raia wasiokuwa na silaha akina Mbatia, CHADEMA, Rungwe... Kwenye silaha hamna kitu. Hata majambazi unaosikia eti wameuawa na polisi eti wakati wa kurushiana risasi ni uongo. Huwa wanawakamata wakiwa hai na kuwapiga risasi.
Kwa uzoefu nilionao na huko nilikopitia hadi hapa nilipo kwa sasa yule bwana mafunzo alionayo ki mbinu za medani sio za nchi hii nakuambia na wengi najua watanibishia.
 
Sasa ndugu kama sina mafunzo yoyote unipe hiyo smg si nitaibeba kama shoka tuu?silaha yenyewe kama huijui ukiisogelea tuu unajiskia woga
inategemea na tukio lililokupata mzee,na kama ni mtu wa movie lazma utakuwa na idea
 
Nadhani likizo zake alizitumia na alshabaab
Hapa ndio pa kufanyia uchunguzi hizo likizo akienda huko nje alikuwa anaenda wapi na kufanya nini.
Hii agenda ya kusikiliza majirani eti marehemu alikuwa mstaarabu mara mpole mara mto misaada hizo waweke pembeni kwanza
 
Hamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style ruffles.

Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.

Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.

Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Hili naungana na wewe
 
Back
Top Bottom