Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Kwa wasomali kutumia SMG au AK 47 ni kama wachaga wanavyotumia mbege tu , hata kwa harusi zao bibi harusi anafyatua mashine mkono mmoja mkono mwingine ameshikilia extra magazine hio iko kwa utamaduni wao, nililia sana siku ya harusi yangu pale Mogadishu sherehe haikua na pombe wala mziki ilikua na machine guns .unless Hamza awe hakujua kabisa asili yake ndio inaweza kua ajabu kwa yeye kuimudu ile bomba
 
Askari wa bongo ni wa kawaida...
Mi nakuambiaje... kuna raia mtaani huwa wanawaheshimu tu, ile unakuta askari anampiga raia, raia harudishi eti ndio wanajiona wanajua kupiga...
Lakini kuna raia anaweza kuteremsha defender nzima kwa mkono tu peke yake... piga askari 6 kwa wakati mmoja... mamaeeee

Sasa ile kuwaheshimu ndio wanatudharau... unakuta askari ana ndambi hatari... anakunywa bia huyo usiku kucha... kukimbia km 2 ni mtihani... wakikaa kwenye lindo ni story za Manara... heheheeeeehhh

Hio mijegejo kuna raia wengi tu wana maufundi...
 
Kwa maneno aliyoongea Hamza kuna kila dalili ya kukwepesha jambo lisielekee huko lilipoelekea, mana watatokea hao anaowaita wa ovyo kibao. Lakini turudi nyuma kidogo tudodose, Je kuna mtu aliyeuliwa kwa makosa au kuonewa na hawa polisi? Ambaye Hamza anaona kaonewa??
 
Hapa ndio pa kufanyia uchunguzi hizo likizo akienda huko nje alikuwa anaenda wapi na kufanya nini.
Hii agenda ya kusikiliza majirani eti marehemu alikuwa mstaarabu mara mpole mara mto misaada hizo waweke pembeni kwanza
Kabisa

Mimi kwa uelewa wangu mdogo kabisa nadhani hata ile ni part and parcel ya a grand plan that's going to happen.

Pengine waliomtuma walitaka kujua:

1. Responding time ya police

2. He Kuna kikosi maalum Cha kupambana na issue Kama ile?

3. Formation ya Askari wetu: je watajipangaje?

4. Snipers. He Hawa watu Wana snipers wa maana na tishio?

5. How safe is mtaa wenye maofisi muhimu Kama ule? Maubalozi...... Je Kama pale ni vile. Mbagala itakuaje?

6. Je jeshi linaingiliaga?

Mambo mengi muda mchache ....

Nadhani hili tukio lisipuuzwe. Pamoja na dhuluma inayoongelewa lakini lazima machale yananiambia Hamza is part of something.
 
Sawa kabisa waanzie hapo
 
Kwa maneno aliyoongea Hamza kuna kila dalili ya kukwepesha jambo lisielekee huko lilipoelekea, mana watatokea hao anaowaita wa ovyo kibao. Lakini turudi nyuma kidogo tudodose, Je kuna mtu aliyeuliwa kwa makosa au kuonewa na hawa polisi? Ambaye Hamza anaona kaonewa??
Kwa maelezo ya jamaa zake wanadai alionewa
 
Hamza anaonekana alikua na mafunzo ya kutosha tuu tushukuru Mungu raia aliwaona kama hawana hatia maana ingekua hatari kweli kuliko maelezo...
 
Kada huyo wa CCM si huwa wanawapa mafunzo! Ila Siro kamwita mtu wa ovyo, kweli angekuwa wa ovyo angeweza kweli kumiliki silaha kivile. Na ile bastola nani kamilikisha kijana wa Ovyo? hapa kuna kitu kinafunikwa. Majibu ya kamanda Siro nikayasikia lazima niyageuze upande wa pili na kuyadadavua.......... yaani yapo kisiasa zaidi
Sirro amepanic utadhani watu hatuwajui polisi walivyo watu wa hovyo
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawai jifunza kuitumia risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoko mikononi,lakini hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa je?atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Hamza ni greenguard kwahiyo mafunzo kayapata chamani chini ya ccm
 
All in All Hamza sio mgeni wa hiyo mijegejo ndio maana aliweza kuimudu vizuri ,nakataa kama alijifunzia youtube ila alifanyia practical pia ndio maana hata alivokuwa anapiga risasi hatujaona ikimyumbisha kwa ugeni wa kutumia silaha,alimudu vyema.
 
Wewe ndio miongoni mwa walionielewa.
Ndio tujiulize ule ukakamavu kiasi kile alifunzwa wapi
 
Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.

Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Waulize CCM maana alikua Uvccm mmoja tegemeo sana
 
Back
Top Bottom