Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

Wanakwambia eti you tube[emoji28],anapiga akiwa wima,akiinama,akiwa upande upande,na shaba inatoka murua kabisa.

Anakamata bunduki na movement kama US navy forces,wanakwambia you tube!

Hata kama alikuwa mwema ,yale mafunzo aliyapata wapi? Na kwa lengo gani?

Yule askari pale kibandani ni bahati tu ilimfanya awe hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa alikuwa anamiliki bastola ,tunaimani alipata mafunzo ya kutumia silaha kutoka authorized entity na pia inaonekana alijiongeza kwenye kufahamu matumizi ya silaha nyingine.
Eheeee ndio hapa sasa nataka kujua itakuwa ni wapi maana kama ni bastola mafuzo yake sio makali ni sekunde tuu na masharti kidogo basi
 
kwa nini aseme Sirro anauwa waislamu. Wewe ukionewa wakati wa kulipiza kisasi, unaweza pindisha maneno? Hamza angesema Sirro kwanini mnanionea.. Unajua ukiwa na hasira kiwango kile hakuna kuficha siri wala kutumia misamiati.
Shida inakuja kwamba binafsi sijasikia tukio la muislamu kuuawa na askari chini ya Siro. Sana sana tumeona mashehe wa uamsho wameachiwa.

Au Akwilina alikua muislamu?
 
Pamoja na hilo ila bado kuna namna sii bure
 
Zaidi sana shabaha.

Aliuwa 4 watatu wakiwa polisi 1 akiwa mtu aliyetaka kumletea hizo hizo.

Alijeruhi wengine 6 wote polisi.

Hamza katika kulipiza kisasi alidhamiria hasa. Watakuwa walikuwa wamemgusa pabaya.
 
Sawa hata mimi mtandaoni naweza lakini sio kuingia nayo front nianze kurushiana marisasi kiasi kile
Nilichogundua humu Jf Kila kitu kitakacholetwa huku watu tunakijibu kisiasa tu. Watu wanajitoa ufahamu wakifiri wanamkomoa mtu Ila itafika wakati tutafikiri vizuri Kutoka na Hali itakayokuwepo
 
MISRI, mkome kuchokoza watoto wa kiislamu.
 
Shida inakuja kwamba binafsi sijasikia tukio la muislamu kuuawa na askari chini ya Siro. Sana sana tumeona mashehe wa uamsho wameachiwa.

Au Akwilina alikua muislamu?
Lakini hawa jamaa wakitakaga zao hudai binadamu wote ni waislamu, hata Yesu wanasema ni mwislamu, yaani nabii Issa na wafuasi wake hivyo kama hivyo,... umenipata. Wanataka kulianzisha wamelianzisha....
Hakuna nguvu ya kijeshi yoyote hapa Tz ya kutetea uonevu wa akina Sirro na ccm yao. No way!!
 
Zaidi sana shabaha.

Aliuwa 4 watatu wakiwa polisi 1 akiwa mtu aliyetaka kumletea hizo hizo.

Alijeruhi wengine 6 wote polisi.

Hamza katika kulipiza kisasi alidhamiria hasa. Watakuwa walikuwa wamemgusa pabaya.
Kwa kweli
 
Nilichogundua humu Jf Kila kitu kitakacholetwa huku watu tunakijibu kisiasa tu. Watu wanajitoa ufahamu wakifiri wanamkomoa mtu Ila itafika wakati tutafikiri vizuri Kutoka na Hali itakayokuwepo
Kweli kabisa tatizo wanajibu alimradi aonekane alikuwa on line
 
Kwa hiyo hamza nae alijifunzia you tube
Sijasema kajifunzia youtube.

Ila youtube unakuta hayo mafunzo.

Katika tukio la Boston bombing culprit alitumia pressure cook kutengeneza bomu na maelekezo ya kutengeneza bomu yapo online na ndipo alipoyatoa.

Kwa USA kuna vitu ukisearch hautakaa muda mrefu utakuja kugongewa na wanausalama.

Wazee wangu information is out there at our finger tips. Kuna video nimeisearch youtube inalekeza jinsi ya kutumia silaha ukiwa wima, au unatembea.

So taarifa zipo. Mahitaji ni silaha na willingness ya kujifunza.
 
mbona hata Osama ailikuwa mpole sana! upole unasaidia nn. upole sio kipimo sahihi kwa mtu na watu. ukiwa mtu wa story kumbe ni dalali ya kuwa gaidi.........kuishi bongo raha sana
 
Shida inakuja kwamba binafsi sijasikia tukio la muislamu kuuawa na askari chini ya Siro. Sana sana tumeona mashehe wa uamsho wameachiwa.

Au Akwilina alikua muislamu?
Hapo chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…