pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Green guide ndo mafunzo yao hayo.Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
SMG AK 47 ni silaha ya nn? Hiyo ndo silaha ya kivita iliyouwa watu wengi zaid dunianSiku hizi Polisi wanatumia slahaa za kivita?
Mnavuna mlichipanda makada wameuanaWameshasema juu hapo.wao wanafikiri kufundisha kwenye mtandao ni sawa na kufanya live kama hamza.
Nadhani kwenye vijiwe vya Kahawa.Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Ni gaidi kama magaidi wengineUkiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Kwa kweli nyuki zimeumanaMnavuna mlichipanda makada wameuanaView attachment 1914844
Nani kakuambia ni gaidiYani unauliza gaidi kajifunzia wapi silaha? Kajaribu wewe kupora na hauna mafunzo yoyote inaweza hata kukushnda kufyatua risasi ukaibeba Kama rungu
Na mwsho utavuna ulicho kipanda Kama Hamza alivyo vuna mazao yake
Ujawahi waona?Ndio mafunzo ya kivita kiasi kile?
SMG siyo siraha ya kivita?Kwanza hiyo siyo silaha ya kivita
Pili kama unataka kununua silaha unapata na mafunzo ya jinsi ya kutumia vile vile mtu yoyote anaweza kukufundisha