Kwa magaidi tunayo yaona kwenye Tv, kijana huyu na kada mtiifu wa CCM kama kweli angekuwa gaidi basi na hakika siku ile angeondoka na roho za watu takribani 50+ kwa ninavyoitambua AK-47 na ubebaji wa risasi wake siku ile ingekuwa ni kilio kwa wana dar es salaam.Akikujibu niambie,Hamza si gaidi Huyu ni Kada kindakindaki wa kile chama cha mboga mboga.
Hii photoshop imevunja rekodi!! Yaani Hamza anaonekana kuwa na kichwa kikubwa kuliko hata ule mwili wake!!
Hii photoshop imevunja rekodi!! Yaani Hamza anaonekana kuwa na kichwa kikubwa kuliko hata ule mwili wake!!
Nireteeeeni Hamza....
Sirro: Mpelekeeni Hamza...
Hamza: kitaeleweka haendi mtu...
Polisi:
Kada wa chama cha mapinduzi
View attachment 1915395
Magaidi always wanaaim kuua watu wengi kadri iwezekanavyo. Wanaamini labda huko wanakokwenda watapewa raha zaidi kutegemeana na idadi waliyoua kabla hawajauawa (plus mabinti bikira wa kutosha sana😎)Gaidi let him rot in hell. Kiumbe stupid kabisa.
Maskin,
Jaman, kwa hiyo tukituma Salam za pole kwa mwenyekiti wao hatutakuwa tumekosea?
Somo gani?Apumzike. Katuachia somo kubwa sana.
Haoneshi kuwa Gaidi, ila inaonesha kuna kitu alikuwa anaprotest..Gaidi let him rot in hell. Kiumbe stupid kabisa.
Somo gani?Apumzike. Katuachia somo kubwa sana.
Hamza ametuinua sana wiki hii,mungu ampokee shujaa wetu kada wa ccm ilalaAmezikwa usiku saa 2:30 , tarehe 29/8/2021 , badala ya Saa 7 mchana kama ilivyotangazwa awali kutokana na ugumu wa kazi ya kutoa risasi zilizokwama mwilini mwake , hayo yamesemwa na msemaji wa familia Abdulrahim Hassan
Mwili wake umeswaliwa katika Msikiti wa Mamuur Upanga .
View attachment 1915405
Chanzo : Mwananchi
Sasa anakwenda kutwaa mabikra sabini....Gaidi let him rot in hell. Kiumbe stupid kabisa.
Hamza yuko na malaika,kamkuta meko kibarua anajenga sgr na mashetani wenzakeJapokuwa alikuwa ccm dhambi zake zimeondoshwa kwa tendo la kishujaa alilolifanya badala yake wale walikula risasi za hamza watateswa badala yake