nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kwa magaidi tunayo yaona kwenye Tv, kijana huyu na kada mtiifu wa CCM kama kweli angekuwa gaidi basi na hakika siku ile angeondoka na roho za watu takribani 50+ kwa ninavyoitambua AK-47 na ubebaji wa risasi wake siku ile ingekuwa ni kilio kwa wana dar es salaam.Akikujibu niambie,Hamza si gaidi Huyu ni Kada kindakindaki wa kile chama cha mboga mboga.