Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Akikujibu niambie,Hamza si gaidi Huyu ni Kada kindakindaki wa kile chama cha mboga mboga.
Kwa magaidi tunayo yaona kwenye Tv, kijana huyu na kada mtiifu wa CCM kama kweli angekuwa gaidi basi na hakika siku ile angeondoka na roho za watu takribani 50+ kwa ninavyoitambua AK-47 na ubebaji wa risasi wake siku ile ingekuwa ni kilio kwa wana dar es salaam.
 
Gaidi let him rot in hell. Kiumbe stupid kabisa.
Magaidi always wanaaim kuua watu wengi kadri iwezekanavyo. Wanaamini labda huko wanakokwenda watapewa raha zaidi kutegemeana na idadi waliyoua kabla hawajauawa (plus mabinti bikira wa kutosha sana😎)

Kwa tulichokiona, Hamza angeweza kuua watu wengi sana pale barabarani kama angekuwa na elements hizo

Polisi hawakupaswa kumtandika risasi za kumuua. Huyu alipaswa kupigwa za miguu ili akahojiwe vizuri
 
Wote tutakufa. Hamza ameishi mara moja na amekufa akipigania haki yake. Mfano wa kuigwa kwa Watanzania wote. Tukatae dhuluma. Nchi hii imejaa dhuluma. CCM na polisi wanaongoza kwa dhuluma. Hamza ni shujaa. Tukipata Hamza 100 tu nchi hii tutaheshimiana.
 
How comes? Muhimbili ndio kazi zao kutoa risasi na vitu visivyohitajika mwilini kabla ya kuzika. Pamoja na makosa yake lkn haki ya kufanyiwa upasuaji ili azikwe kwa usawa ungezingatiwa. Kama ndio hivyo hakukuwa na haja ya polisi kuchukua mwili wake, wangeuacha palepale na wasamaria wema wangeenda kuuzika.
 
Amezikwa usiku saa 2:30 , tarehe 29/8/2021 , badala ya Saa 7 mchana kama ilivyotangazwa awali kutokana na ugumu wa kazi ya kutoa risasi zilizokwama mwilini mwake , hayo yamesemwa na msemaji wa familia Abdulrahim Hassan

Mwili wake umeswaliwa katika Msikiti wa Mamuur Upanga .

View attachment 1915405

Chanzo : Mwananchi
Hamza ametuinua sana wiki hii,mungu ampokee shujaa wetu kada wa ccm ilala
 
Back
Top Bottom