Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hakuacha maandishi, ameonekana kwenye records za video akisema anampigania allah, hilo liko wazi.

Hiyo ya pointing police brutality alikwambia lini ama aliisema wapi?

Magaidi mnajaridu kumtetea gaidi mwenzenu wakati alisema mwenyewe anampigania allah.

Hata mumtetee vipi hamza ni gaidi na amesema mwenyewe.
Ni kazi ngumu kutuaminisha kwamba kumpigania Allah basi lazima uue polisi

Twambieni kwanini Hamza aliamua kuua Polisi oeke yake?
 
Ni kazi ngumu kutuaminisha kwamba kumpigania Allah basi lazima uue polisi

Twambieni kwanini Hamza aliamua kuua Polisi oeke yake?
Hata wale magaidi wa kibiti, wale walivamia kituo cha polisi huko mbagala na kuua polisi, wale walivamia bank na kuua polisi peke yake na wale walioua askari 8 wote Modus operandi yao ni moja, kuua polisi.

Ama wale hawakua magaidi kisa waliua polisi peke yake?
 
Mimi ninachowaomba Wazazi msituzalie watoto wa aina hii ya Simon. Wasiojua hata kutofautisha picha zilizopigwa na YASHICA na zile zinazotokana na CCTV cameras. Hivi ndiye yeye alisema watekaji walitoka South Africa, dah hata sijui lile swala liliisha vp
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile yake kiboko, eti ilipigwa na CCTV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom