imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kijijini kwa Sirro.Sanamu la Hamza linajengwa wapi jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijijini kwa Sirro.Sanamu la Hamza linajengwa wapi jamani?
Kataa dhuluma simamia ukwelihili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Ni kazi ngumu kutuaminisha kwamba kumpigania Allah basi lazima uue polisiHakuacha maandishi, ameonekana kwenye records za video akisema anampigania allah, hilo liko wazi.
Hiyo ya pointing police brutality alikwambia lini ama aliisema wapi?
Magaidi mnajaridu kumtetea gaidi mwenzenu wakati alisema mwenyewe anampigania allah.
Hata mumtetee vipi hamza ni gaidi na amesema mwenyewe.
OK fine, for the ske of arguing, Kumpigania Allah ndiyo ugaidi?Hamza ni Gaidi hilo liko wazi.
Hata wale magaidi wa kibiti, wale walivamia kituo cha polisi huko mbagala na kuua polisi, wale walivamia bank na kuua polisi peke yake na wale walioua askari 8 wote Modus operandi yao ni moja, kuua polisi.Ni kazi ngumu kutuaminisha kwamba kumpigania Allah basi lazima uue polisi
Twambieni kwanini Hamza aliamua kuua Polisi oeke yake?
Huyo allah unampiganiaje? Kumpigania allah ni lazima uue watu? Ama kuua ndio kumpigania allah?OK fine, for the ske of arguing, Kumpigania Allah ndiyo ugaidi?
Ohio streetSanamu la Hamza linajengwa wapi jamani?
Endelea kuamnini video za kutengeneza mkuu.Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
[emoji28][emoji28][emoji28]"...Huyo hata kumzika ni kumpendelea Sana "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ninachowaomba Wazazi msituzalie watoto wa aina hii ya Simon. Wasiojua hata kutofautisha picha zilizopigwa na YASHICA na zile zinazotokana na CCTV cameras. Hivi ndiye yeye alisema watekaji walitoka South Africa, dah hata sijui lile swala liliisha vp
Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
Itafaa sana kama Mbatia atamuwakilisha Mbowe kwenye mazishi ya Gaidi Hamza.