Kama ilitengenezwa ID card ikimuonesha Hamza ni mwana CCM, na hii sina sababu ya kuiamini na kwa tabia za polisi lolote wanaweza kutengeneza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanamu la Hamza linajengwa wapi jamani?
Vipi Mbatia atahudhuria?
Itafaa sana kama Mbatia atamuwakilisha Mbowe kwenye mazishi ya Gaidi Hamza.
Sawa.Kama ilitengenezwa ID card ikimuonesha Hamza ni mwana CCM, na hii sina sababu ya kuiamini na kwa tabia za polisi lolote wanaweza kutengeneza....
Hawa watu wakiwa Baba zako wa kambo itakusuuza roho. Au uolewe nao. Bahati mbaya wana wanawake na wachaga hawaoi mitaalaItafaa sana kama Mbatia atamuwakilisha Mbowe kwenye mazishi ya Gaidi Hamza.
Pumzika kwa amani Hamza
Hakuua watu aliua polisi.Huyo allah unampiganiaje? Kumpigania allah ni lazima uue watu? Ama kuua ndio kumpigania allah?
Vibaya kumuombea marehemu apate pumziko jema???Hata wewe.... 😍
Hata sirro kimoyomoyo salute anazipiga Kwa huyu mwamba maana hakutegemea ambush ya mtu mmoja bongo hii kuzaa matokeo haya
Napendekeza ndugu walinde kwa muda hilo kaburiHamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.
Tukio liko mubashara Global tv!
makuzihili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Hamza siyo gaidi alazwe mahali pema peponi.Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.
Tukio liko mubashara Global tv!