Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Kwa sisi na ndugu zetu ambao tushafanyiwa unyama na awamu ya tano kwa kuwatumia polisi tunamchukulia Hamza kama Sylvester Stallone kwenye sinema ya First Blood.

Mwenyezi Mungu amweke mahali pema peponi kwa kutupazia sauti Watanzania ambao tupo tupo kama misukule iliyokatwa ulimi a.k.a watu wa hovyo hovyo!
 
Back
Top Bottom