Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #161
Nguruvi3,Alaa kumbe ni wasomaji wako, sasa nitegemee nini hapo!
Naona unaomba msaada, wakusanye waje hapa tuongee
Waambie waje na katiba ya chama chochote aliyoandika Abdul Sykes K. Mbuwane
Nguruvi3,Kasome mabandiko yako vizuri ufanya uhariri. Kama hutafanya hivyo nitatumia maneno yako kuonyesha ulichosema
Ndiyo maana nimekuomba uonyesha mkutano, mkusanyiko mmoja tu uliotokea chini ya jina la TANU kabla ya Nyerere kutangaza
Nyerere alikuwa katibu wa tawi kubwa la Tabora, Abdul makao makuu. Hwakujuana hata kwa habari tu. Je, Mkutano wa 1948 Nyerere alihudhuria au hakuhudhuria? Abdul alikuwa na nafasi gani wakati huo? Nyerere alihudhuria kwa sifa zipi?
Haitoshi kutueleza kuwa katiba iliandikwa hapo. Mpaka itoke huko iliko, katiba ya chama iliandikwa na Julius. Nyerere. Tunashukuru kwa mchango wa nyumba, hilo haliondoi umuhimu wa Nyerere au mabadiliko aliyoleta ambayo wenyewe waliyakubali na kumpa kadi nambari one (number uno)Nyerere hakuwaogopa akajitosha na kuongoza
Unaona umuhimu wake lakini! Unaposema si muhimu tena inatia shaka na dhamira yako
Wakati huo Nyerere alishamaliza Edinburgh na ndio maana nkueleza elimu iliku muhimu kubadili siasa, hata Abdi alijua hilo
Uwepo wa jina siyo uwepo wa chama. Tunaongelea uhai wa chama. Nionyeshe sehemu moja tu jina la TANU lilitumika kabla ya 1954.Bado una rusha rusha.
Jee, ulimjuwa Mshume Kiyate kabla ya kumsoma kwa Mohamed Said?
Nyerere mwenyewe alikiri kuhusu jina la TANU kuwa lilikuwepo, sasa wewe ulifikiri lilikuwepo la nini? Kuchezea bao?
Yes, itakavyokuwa sawa tu, waambie naomba nakala ya katiba ya chama chochote cha siasa iliyoandikwa kabla ya Nyerere. Ninahitaji sana darsa hiloNguruvi3,
Blog yangu inatumika kwa utafiti wa historia ya Tanganyika.
Hakuna majibizano toa hofu.
Nimekusudia kukuweka ili watafiti wapate hoja tofauti kuhusu
historia ya TANU.
lLakini umuhimu wa Nyerere upo na hauundwi na mtu kwa maandiko ,picha au marashi. Historia yake ipo inajieleza hata kama ni chungu 'kumesa'Nguruvi3,
Historia ya TANU nimeisahihisha toka 1998.
Sasa ni miaka 18.
Nimejitahidi kuwarejesha katika historia wazee wangu
waliofutwa.
Umuhimu wa somo hili kama somo la kufanyia utafiti
kwangu mimi haupo tena.
Nguruvi3,Kasome mabandiko yako vizuri ufanya uhariri. Kama hutafanya hivyo nitatumia maneno yako kuonyesha ulichosema
Ndiyo maana nimekuomba uonyesha mkutano, mkusanyiko mmoja tu uliotokea chini ya jina la TANU kabla ya Nyerere kutangaza
Nyerere alikuwa katibu wa tawi kubwa la Tabora, Abdul makao makuu. Hwakujuana hata kwa habari tu. Je, Mkutano wa 1948 Nyerere alihudhuria au hakuhudhuria? Abdul alikuwa na nafasi gani wakati huo? Nyerere alihudhuria kwa sifa zipi? Haitoshi kutueleza kuwa katiba iliandikwa hapo. Mpaka itoke huko iliko, katiba ya chama iliandikwa na Julius. Nyerere.
Tunashukuru kwa mchango wa nyumba, hilo haliondoi umuhimu wa Nyerere au mabadiliko aliyoleta ambayo wenyewe waliyakubali na kumpa kadi nambari one (number uno)Nyerere hakuwaogopa akajitosa na kuongoza
Unaona umuhimu wakei! Unaposema si muhimu tena inatia shaka na dhamira yako
Wakati huo Nyerere alishamaliza Edinburgh na ndio maana nakueleza elimu ilikuwa muhimu kubadili siasa, hata Abdi alijua hilo
Nguruvi3,Yes, itakavyokuwa sawa tu, waambie naomba nakala ya katiba ya chama chochote cha siasa iliyoandikwa kabla ya Nyerere. Ninahitaji sana darsa hilo
Kabla ya hapo ni mkutano gani au mkusanyiko gani uliowahi kufanyika chini ya jina la TANU? Nitajie mmoja tuNguruvi3,
Mtu wa kwanza kuitangaza TANU hakuwa Nyerere.
TANU ilitangazwa na Ramadhani Mashado Plantan
kupitia gazeti lake, ''Zuhra.''
Hadharani mtu wa kuitangaza TANU alikuwa Bi. Titi.
Mkutano huu ulifanyika Mnazi Mmoja na Nyerere
hakuweko alikuwa Musoma.
Saw sawa kabisa, ipo wapi?Nguruvi3,
Mwanasheria aliyesaidia kuandika ile katiba alikuwa Earle Seaton.
Huyu alikuwa rafiki yake Abdul yeye alikuwa ''advocate,'' Moshi na
raia wa Bermuda.
Nguruvi3,lLakini umuhimu wa Nyerere upo na hauundwi na mtu kwa maandiko ,picha au marashi. Historia yake ipo inajieleza hata kama ni chungu 'kumesa'
Unaposema umeshusha pazia la Julius Nyerere ni kumdhalilisha sana mzee wa tu.
Wewe ibn Sntungo unaweza kushusha pazia la Nyerere hapa katika anga la mwenyezi kweli!
Nguruvi3,Kabla ya hapo ni mkutano gani au mkusanyiko gani uliowahi kufanyika chini ya jina la TANU? Nitajie mmoja tu
Hao walitangaza TANU ikiwa tayari au kabla ya Kambarage kupewa number uno ?
Kutangaza kunafuatia baada ya kukamilika taratibu. Hao walioandika magazetini walifanya hivyo kwa ruksa ya chama kikiwa na katiba aliyoandika Julius
Kama ipo nyingine iliyoandikwa kabla ya hapo, khairi tuwekee hapa sheikh. Kama hakuna basi tusimame na ya Kambarage
Nguruvi3,
Ndugu yangu nakuonea huruma sana.
Wewe kama unapenda mambo haya si ungekuwa unasoma kwanza?
Kwa nini unataka kujifedhehesha bure?
Katiba ya TANU ilikopiwa kutoka katika ya Convention Peoples Party
(CPP) ya Kwame Nkrumah neno kwa neno.
Nguruvi3,
Bin Samitungo ni Abdallah babu yangu mkuu.
Mimi ni Bin Said.
Kweli nimeshusha pazia.
Sitafiti tena historia ya Nyerere na TANU kwani yote niliyotaka kusema
nimesema katika kitabu changu.
Historia chungu si ya Nyerere.
Chuo Cha Kivukoni iliandika na kitabu kipo.
Historia chungu ni hii ya Abdul Sykes...
Inakuchoma sana na kwa kweli si wewe wengi wameumizwa pamoja na
Mwalimu wangu Prof. Haroub Othman.
Nadhani unajua kuwa Africa Events (London) ilipochapa makala yangu
nilomtaja Abdul kama muasisi wa TANU gazeti lote lilikusanywa.
Hii ni katika miaka ya 1980.
Nani kakichoma moto kitabu cha Kivukoni College?
Maalim Faiza,
Maalim Faiza,
Kwezisho,Sheikh Mohamed Said wakati mkiendelea na hilo rumbano hapo juu sio vibaya ukatudadavulia hiki kipande cha taarifa cha Michael F. Lofchie, 1971, in the book titled as “The State of the Nations: Constraints on Development in Independent Africa”. Naomba kumnukuu:
“Nyerere resigned the post of prime minister in January 1962, only six weeks after independence, in order to spend his full time as president of TANU. He returned to government office in December 1962 as the first president of the republic.”
Mosi najiuliza hili tukio la kujiuzulu na kurudi "kijotijoti" kwenye ulingo wa siasa naliona kama maajabu fulani na kila nisomapo hii tukio nafikicha sana macho na sielewi kama taratibu za kipindi kile ziliruhusu.
Je hii sababu inayotolewa na huyu mwanazuoni Michael F. Lofchie ndiyo mnayobishania?
Kwa sababu yaonekana TANU au viongozi wengi wa serikali ya Nyerere baada ya uhuru walikuwa wageni na Nyerere alihitaji muda kusoma na kuulewa mchezo wa kisiasa kwa kuwa walioasisi harakati hawakushirikishwa serikalini, huu ni mtizamo wangu naomba kukosolewa kama niko tofauti na mawazo ya wengine.
Mwalukuni,Wajinga hata ufanye nini ujinga lishakuwa vazi lao,Hivyo ndugu Mohammed Said endelea kuwaelekeza tu,usichoke.Kwani wao ni kama mshumaa wakati wanateketea,sisi tunapata mwangaza.Well done my lecturer Mr.Said.