Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Lete ushahidi kuna kitabu kimeandika na maalim sheikh wngu alhaji Mohamed Said maisha na nyakati za abdulwahid sykes sina hakika km hicho kitabu kinauzwa misikitini tu km unavyotaka tuamini kuna kitabu kingine pia uamuzi wa ubasara wa tabora sina hakika na wala hamna ushahidi km kinauzwa misikitini tu km unavyotaka tuamini lete ushahidi wapi na lini mohamed said amemtukana au kumkashifu mwl nyerere kikubwa mnataka pia mwl apewe pia sifa zisizokuwa zake itakuwa ngumu hyo vitabu hvyo vinapatikana dukani ilala na wateja wngu ni dini zote na makabila yote
5d6f0a41b402acec3d69fa4faf5805ba.jpg
2118bc4e252e48a48a0566008876a993.jpg
419ff5aa2a723c60c7914e5c3282fd66.jpg
2ff6ae9bbb39f6785e9d5a1eb1dd7414.jpg
Uko Ilala ipi? nielekeze nije nichukue madini, hv kuna kitabu kilichoandikwa kuhusiana na komando Tamimu?
 
Nguruvi3,
Ndugu yangu nakuonea huruma sana.
Wewe kama unapenda mambo haya si ungekuwa unasoma kwanza?

Kwa nini unataka kujifedhehesha bure?

Katiba ya TANU ilikopiwa kutoka katika ya Convention Peoples Party
(CPP) ya Kwame Nkrumah neno kwa neno.
Well mtahamisha magoli, nani alikuja na idea hiyo?

Tuonyeshe katiba aliyoandika Abdul Sykes, ukurasa mmoja tu

Mtajitahidi sana kumdhalilisha Nyerere, ikifika hapo mtarudi kumuumbua Abdul
Tuonyesha kama ilikopiwa iko wapi ya Abdul aiyoandika au kukopi?

Idea tu ya kuwa na katiba lilikuwa wazo ambalo ukoo wa Sykes tangu 1929 haukuwahi kulifikiria. Ndipo unapojua elimu ni upanga mkali sana

Tuonyeshe ya Abdul isiyokopiwa au baba yake na ndugu zake wote, just one page

Ukimweka Abdul sykes na Nyerere katika mizani , unamtafutia Abdul madhila na fedheha
 
mh!!..., historia mbna utata hiv... kwann vitu vcwe wazi jman... tupo kwetu lakni hatujijui....
Kimbugu,
Hakuna utata wowote katika historia ya TANU labda kwa wale wasioijua.

Mimi ndivyo kama hivi unavyonisoma nakuhadithieni ilivyokuwa TANU kadri
ninavyofahamu.

Angalia picha hiyo hapo chini Nyerere yuko na watu gani mwaka wa 1955
safari yake ya kwanza UNO New York?:

UWvn_aJHoMdzFEjMAG6bco02nhvQLXhMDswTlbTFWKaAQBmxN9ob06vY8rMZMseKVXhKyCJFJ02VL8lRElP0qlV4y-OJmOIXSS9sgJvf9-E3rr1rDVoe7XKAJrDgg5Yx2-HDcqbzjZuVVbH9AiQofHnhR53Ki5pWOyX0jyVEjioOhb5Zf-gJk4eHus6kjIvOTHIXBrtvpH3tBDQEWw-KOpHP-Q3l4bSwI1Ye7taskqsXu9K5Wpnq6E3FH9lcVWtq-Ct2N7konWA1kuwzaeOcwEWE5TzCtG61gIb3VIXQYeN97Ztt50XfXg_0eWYskc1KWGIbgxS7G8DaJXUKJbp62KgZNXD4Vjoryl-Ez3xosyIC0LuTCDovjPd3k0YkS2oYuhVv__ToV3lGpIHg4PD5csaLF_YOHCo9bo5WwMiwgVrhd56WtMCrOK760ziq-9DtFeGWRMaz2wKS5Mu-noV4XaH0hcHF2T-M5AN4srO30HN1G-KlVOxCO-PQcOK9HVKrN0NGCTi7PlprK_XNKgDPGVdYgUISswo1D2g5HKd1IVVj9B0g3mfKY_HbxM3uprcmR9orFYng14joW5c5W1EuoHeBrKDF6oVk=w876-h657-no

Sasa huo utata uko wapi hapo na picha inajieleza?
 
Mwalukuni,
Hii ndiyo dharuba iliyopiga historia ya TANU.

Kwa miaka yote Nguruvi3 akiamini kuwa katiba
ya TANU iliandikwa na Nyerere.

Sasa jiulize watu wangapi wamedanganyika hivyo?

Kitu cha kusikitisha hata pale wanapoelezwa kweli
akili zishavia wanapata dhiki kupokea mapya.

Marehemu Dr. Michael Lugazia alifanya juhudi
kubwa sana katika suala hili la katiba kuanzia 1953.

Amekufa akinung'unika jinsi historia ya TANU
ilivyopotoshwa.

Mara ya mwisho alikuwa Ocean Road Hospital.
Well, ameandika hakuandika ukweli ni kuwa uwepo wa wazo la katiba ni kutokana na akili za Nyerere. Tumekuomba utuonyesha aliyoandika Sykes na baba yake na ukoo wao wote ukurasa mmoja tu! Huna

Tuonyeshe waliyokopi kutoka Burma , Accra au London ukurusa mmoja tu, huna

Hivyo, the idea ya kukifanya chama kuwa modern ilikuja na Julius Nyerere
Akakitoa chama juu ya matenga ya ng'onda na kukiweka katika mustakabali wa kisiasa.

For your information, katiba zinaandikwa kwa kujifunza kutoka sehemu nyingine

Prof Palamagamba alisema wakati wanaandika draft ya Warioba, walifanyia rejea katiba nyingine kama za Ujerumani na maeneo mengi kupata idea ambazo sisi tunaweza kuziweka katika muktadha wetu

Nionyeshe waliyoandika akina Sykes wote na ukoo wao, au waliyokopi kutoka Burma , just ukurasa mmoja tu!

Hakuna mizani ya Nyerere na Sykes, lazima atadhalilika mmoja, likely Abdul
 
Well mtahamisha magoli, nani alikuja na idea hiyo?

Tuonyeshe katiba aliyoandika Abdul Sykes, ukurasa mmoja tu

Mtajitahidi sana kumdhalilisha Nyerere, ikifika hapo mtarudi kumuumbua Abdul
Tuonyesha kama ilikopiwa iko wapi ya Abdul aiyoandika au kukopi?

Idea tu ya kuwa na katiba lilikuwa wazo ambalo ukoo wa Sykes tangu 1929 haukuwahi kulifikiria. Ndipo unapojua elimu ni upanga mkali sana

Tuonyeshe ya Abdul isiyokopiwa au baba yake na ndugu zake wote, just one page

Ukimweka Abdul sykes na Nyerere katika mizani , unamtafutia Abdul madhila na fedheha
Nguruvi3,
Pumzika ndugu yangu.

Umejitahidi na mimi nathamini sana mchango wako katika kuweka
historia ya TANU katika mizani yake inayostahili.

Umejitahidi si haba.
Nakupa hongera.

xdUkh50cF1lurXgEVxECk28-lqEe9qOAFctSBNMQ6JK8OsWnWnIhZvptNoSr3gP06xwNsZLlg0C7Fs-QyF1KCv0iVpVaAPx6I4ZahsK6vdYY6QUyxou74s07CpZw0SvpdA9tXjPHUodcXZPGaZGMuXG57nP64iiiyYGZai7ycHpxFeYThI3efT1NTUiQp_o5KC5wGIVSBzlLWX_XX7RZkh89RlFzC5mSHD1YhYcR1EGW8BAi7DcDeJnAQ2s6BLAZ93lMGT-VBZXm4VSfWAGtKk9ZJUY5BfB9jDKu6C8Ctzgt1UWQ78SwQnGLCfmvgn_O4h4ERBEJbZy2bfJZFEoxG4NnbFSesC-eNifeS25yxzQvQMZnR-V2LWNAwU69X4Hpb6NeHJ7YfcIREdJRLC6D5wlqqIRBVuASbgdR_eWnhNdH7ZV6Nyd1d0CjUG2vUJKihzckW8TjlZZbC00HHXqimI49IvPmPspUlC7zC-aFBqxqcxiDvlOl289Zv9DK79oLR7ZebLY3Nsp8kZQzvZwkto8HcqkRU2bpccR0OWLnLsE8qjRG71JYe6DA3HyjsnI8XseU_Qw9lz_YWQE2Sud-p2s-DoIfQneQ=w480-h360-no

Prof. James Giblin wa Chuo Kikuu Cha Iowa akionyesha kitabu cha
Abdul Sykes toleo la kwanza la mwaka wa 1998
 
Nguruvi3 halijuwi hilo, yeye kakazania imetungwa na Nyerere.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
Leteni iliyoandikwa na Abdul Sykes. Kama ameandika au ame copy bado tunarudi pale pale kuwa idea ya kuwa na katiba ni ya Nyerere. Na hili lilionda siasa za juu ya matenga ya ng'onda na kuzifanya modern. Ndiyo maana baada ya kubaini elimu ya Nyerere ilimpa competitive edge, Abdul akachukua fomu za University. Wakati huo Nyerere keshamaliza yote

Idea ya kuwa na katiba ndiyo core issue. Nimesema kuwa aliyebadili siasa za mitaani na kuzifanya modern ni Nyerere. Kuwa na katiba tu ni wazo linaloonyesha Nyerere alikuwa na exposure ya kutosha kuliko wazee wetu

Tumeambiwa katiba ipo iliyoandikwa na Kleist na Wanawe, well, ytumeomba ukurasa mmoja tu, hakuna!

Sasa hii ya Nyerere regardless ameipataje ndiyo imayojulikana

Wanahamisha magoli kila uchao, hapana!

Mnapoamua kumdhalilisha Nyerere na kumtukana ili kumkweza Abdul, kimyume chake mna mdhalilisha Abdul. Tunawaheshimu hawa lakini hatutakaa kimya mkitumia dharau na kejeli zenu kwamba Nyerere si muhimu katika historia tukijua hao muhimu waliongozwa na Nyerere
 
Nguruvi3,
Pumzika ndugu yangu.

Umejitahidi na mimi nathamini sana mchango wako katika kuweka
historia ya TANU katika mizani yake inayostahili.

Umejitahidi si haba.
Nakupa hongera.
Mkiacha kumtukana Nyerere ili kumsafisha Abdul hutanisikia.

Tumekaa kimya muda mrefu tukikuacha unaeneza propaganda

Ilipofika wakati unasema Nyerere si muhimu tena katika historia ya nchi hii, hapo umetuita.

Ndiyo maana tunasema mizani ipo, weka Julius upande mmoja, mwingine Abdul halafu uone dhalili itakyofumuka hapo

Tuonyeshe katiba ya chama chochote cha siasa iwe AA,TAA iliyoandikwa na Abdul Sykes na Baba yake maana walikuwa ndio wenye chama na muhimu

Kama hakuna mjadala umefungwa!

Nyerere ndiye alikuwa nayo iwe ya kukopi, kudesa, kuibia, wazo la katiba alikuwa nalo wakati akina Sykes hawakuwa na habari hizo.

Kama walikuwa na habari lete ushahidi wa ukurasa mmoja tu

Halafu nikaukuuliza, nionyesha mahali ambapo kabla ya 1954 jina la TANU lilitumika katika mikutano au mikusanyiko! Hakuna!

Unatueleza alikuwa nalo Abdul mfukoni, well , aliyesimama na kulitangaza ni Nyerere (siyo katika zuhura au Arnatouglo) I meana baada ya Nyerere kusema sasa ni TANU, ikawa!

Huwezi kumtusi na kumkashifu Nyerere ili Abdul awe maarufu

Nyerere ni habari nyingine kabisa, uzani wake siyo Abdul.
 
Hakuna atakaekupinga na kwa kweli ''Nyerere is bigger than life.''
Ila katika historia ya TANU chama hakuasisi yeye.

FfYAmQoza3_bX1R0R0Hbd5LwNTGGM7dHjMBML3lg7c9SW2goNV8n2PbhLiTZ8QoZxF7ohSA8s86O8U--U3Uwe77P3_b030-hN8xmlLYHXCW9YUXDbrHxtCt6jhE7S8YdRklO_VGZuZA6Ic7uAakdIzLtOgcPL5fA8iCKqh2KaLWK98cPHaXqe4wm8V_DELiQr0MVxcEk3fZDQ7wFjd9hO1q_7sLcP1TXZcXhLTK-dLWvz93BBeklrXWLPDIClmONl4irv99svgNqfQcVGb5Lt5vhvejYfWHsIDXf_vd8DZuRV-ttZ0LRIZQbim5sKcHRvJQqXY5OKaCay6P2eANi31EM1vTuGI-Jig7-2biCXqtDEgMViySL4dGxEi1GgHtx-2607pmTyVDPMJr0XJK9itozwVJmj0tucazqanx5vvIZMx5QOSWOtl6H6AfruAfuv5p4J2FSr1U3oEIqfX4DksAzLSl2ufrcMNehpCdZJpGVpbd9SufujTjyMFtFEFwXJw4M-GDXT47LktyNEM0IZKUVHuoGrwog0xOZ685yCSoQKNsqLAvXWab7HJzYt7ZP8XTwMl3EoHpsnTcAXE-T4oN8ahnUkCJw=w876-h657-no

TANU Branch Magomeni Mapipa 1955 tawi aliloasisi Ali Msham
Picha kwa hisani ya mwanae Abdulrahman Ali Msham
 
Nguruvi3,
Hakuna atakaekupinga na kwa kweli ''Nyerere is bigger than life.''
Ila katika historia ya TANU chama hakuasisi yeye.
Nyerere alikuwa mwanadamu kama wengine. Mwaka 1929 alikuwa na miaka 4 tu, ni obvious hakushiriki wala kujua uwepo wa vyama vya siasa

Nyerere alikuta vyama vipo, ni ukweli kabisa na alijiunga

Hata hivyo, hatuwezi kudharau, kukejeli na kumtusi Nyerere ili kuwafanya akina Abdul Sykes wawe maarufu. Hili halikubaliki kama unavyolitenda na kulifanya

Tunawaheshimu hawa wazee wote waliotusaidia kufika hapa.
Kitendo cha kusema Nyerere si Muhimu katika historia kuliko Abdul Sykes, ni kuwaweka wawili hawa katika mizani

Hapo ndipo tatizo linapoanza , maana tukiuliza facts mnakimbia

Tuwaweke katika mizani tu hakuna shida.

Lakini hatutakaa kimya watu wakitumia jina la Nyerere kumtuhumu, kumzuishia, kumdhalilisha kumtukana kama unavyofanya Mohamed Said ili Abdul awe maarufu! Ney!

Abdul Sykes siyo saizi ya Nyerere the least to say
 
Asante sana kwa mohammed said kukwataka kuandika historia mpya ya tanganyia kama sio tanzania,
Lakini lazima ujue uwezi kuandia historia mpya bila ya kumweka nyerere pia kama wao hao kina syks ,sijui tewa waliona umuimu wa nyerere iweje ww nani kukataa mchango wake kama wao wenyewe waliona hawawezi kuendelea bila kumkabizi chama nyerere, siwezi nikakubishia kwa sababu mm n kijana mdogo sana wa miaka ya tisini , na pia siwezi kukubaliana na ww kwa sababu unavyoonekana huko biasi sana nakutaka kumtenga nyerere kwa sababu n mkristo ma hao kina syks ma ww n waislam
 
Nyerere alikuwa mwanadamu kama wengine. Mwaka 1929 alikuwa na miaka 4 tu, ni obvious hakushiriki wala kujua uwepo wa vyama vya siasa

Nyerere alikuta vyama vipo, ni ukweli kabisa na alijiunga

Hata hivyo, hatuwezi kudharau, kukejeli na kumtusi Nyerere ili kuwafanya akina Abdul Sykes wawe maarufu. Hili halikubaliki kama unavyolitenda na kulifanya

Tunawaheshimu hawa wazee wote waliotusaidia kufika hapa.
Kitendo cha kusema Nyerere si Muhimu katika historia kuliko Abdul Sykes, ni kuwaweka wawili hawa katika mizani
Abdul Sykes
Hapo ndipo tatizo linapoanza , maana tukiuliza facts mnakimbia

Tuwaweke katika mizani tu hakuna shida. Lakini hatutakaa kimya watu wakitumia jina la Nyerere kumtuhumu, kumzuishia, kumdhalilisha kumtukana kama unavyofanya ili Abdul awe maarufu! Ney! Abdul Sykes siyo saizi ya Nyerere
Nguruvi3,
Kitabu cha Abdul Sykes nimeandika na sasa kinasomeshwa kote.
Waliokuwa hawajui historia ya TANU sasa wanaifahamu.

Hili ndilo lilikuwa lengo langu na Alhamdulilah limetimia na
nimeona matunda yake.

Asante sana kwa mohammed said kukwataka kuandika historia mpya ya tanganyia kama sio tanzania,
Lakini lazima ujue uwezi kuandia historia mpya bila ya kumweka nyerere pia kama wao hao kina syks ,sijui tewa waliona umuimu wa nyerere iweje ww nani kukataa mchango wake kama wao wenyewe waliona hawawezi kuendelea bila kumkabizi chama nyerere, siwezi nikakubishia kwa sababu mm n kijana mdogo sana wa miaka ya tisini , na pia siwezi kukubaliana na ww kwa sababu unavyoonekana huko biasi sana nakutaka kumtenga nyerere kwa sababu n mkristo ma hao kina syks ma ww n waislam
 
Nguruvi3,
Kitabu cha Abdul Sykes nimeandika na sasa kinasomeshwa kote.
Waliokuwa hawajui historia ya TANU sasa wanaifahamu.

Hili ndilo lilikuwa lengo langu na Alhamdulilah limetimia na
nimeona matunda yake.
Asante sana kwa mohammed said kukwataka kuandika historia mpya ya tanganyia kama sio tanzania,
Lakini lazima ujue uwezi kuandia historia mpya bila ya kumweka nyerere pia kama wao hao kina syks ,sijui tewa waliona umuimu wa nyerere iweje ww nani kukataa mchango wake kama wao wenyewe waliona hawawezi kuendelea bila kumkabizi chama nyerere, siwezi nikakubishia kwa sababu mm n kijana mdogo sana wa miaka ya tisini , na pia siwezi kukubaliana na ww kwa sababu unavyoonekana huko biasi sana nakutaka kumtenga nyerere kwa sababu n mkristo ma hao kina syks ma ww n waislam
Visidady,
Inaelekea hujasoma kitabu ndiyo maana unasema nimemtenga
Nyerere.

Kwa kuwa umenambia wewe ni mdogo umezaliwa miaka ya 1990
mimi ni mzee wako kwa hiyo nataka nikufunze uwe msomi makini.

Kabla hujaingia katika mjadala wowote kwanza soma.
Soma kitabu cha Abdul Sykes.

Nyerere yuko kila ukurasa.
Hebu tuanze hapa kama darsa letu la kwanza:
Mohamed Said: THE STORY OF JULIUS KAMBARAGE NYERERE, 1952 PART ONE

Kutoka kitabu cha Abdul Sykes
 
Nguruvi3,
Kitabu cha Abdul Sykes nimeandika na sasa kinasomeshwa kote.
Waliokuwa hawajui historia ya TANU sasa wanaifahamu.

Hili ndilo lilikuwa lengo langu na Alhamdulilah limetimia na
nimeona matunda yake.
Na wala sina tatizo na kitabu au historia unayoandika wewe. Wameandika wengi tunasoma na ku digest

Tofauti yako na wengine ni jithada zako za kumdhalilisha na kumtusi Nyerere kila asubuhi. Yaani utadhani Nyerere ni shetani au Zimwi. Hata maamuzi yaliyofanywa na wazee wako bado unamtupia Nyerere ili kumfanya aonekane mbovu

Na jitihada hizo umezieleza pale uliposema 'Baada ya Abdul kupewa nishani katika sherehe za uhuru, umuhimu wa Nyerere katika historia haupo tena, pazia limeshushwa'

Kwamba nia yako ilikuwa kumdhalilisha Nyerere na si kumtafutia Abdul Nishani.

Nyerere ana nishani kwa mamia,hakutakiwa kupewa na kundi la akina Abdul.

Na historia ikamilike, haindikwi kwa kumfanya Nyerere kama kikaragosi.

Ametupiwa lawama wakati asilimia 98 ya baraza la TANU ni 'wazee wako'

Kitendo cha kutoka hadharani na kumdhalilisha Nyerere ili Abdul Syke au Baba yake wang'are si cha kiungwana hata kidogo.

Hawa watu wana nafasi zao katika muda na michango tofauti

Hivi tumefika mahali pa kusema 'Nyerere si muhimu katika historia ya Tanganyika na Tanzania''

Kwamba Mohamed Saidi amefanikiwa kushusha pazia la show ya Nyerere!
Kuna tusi zaidi ya hili kweli

Ndiyo maana tunauliza mambo mengi ambayo hatutaki kuyasema lakini tunasukumwa na mizani ya Sykes &Co Vs JK Nyerere

Andika historia bila kumdhalilisha Nyerere, ukifanya hivyo unakaribisha aibu na dhalili kwa wazee wetu.
 
Muda mfupi uliopita hii leo Ijumaa tarehe 17 Juni 2016 mmoja
wa viongozi wa Kavati la Mwalimu Nyerere amenishukuru kwa
nyaraka kutoka kwangu ambayo wameionyesha katika Kavati.

Ningependa kuweka hapa:
Mohamed Said: NYARAKA ZA MOHAMED SAID KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE

...an undated copy of the letter from the TAA to Queen Elizabeth signed by the entire executive (the President, Julius Nyerere, Vice-President Abdulwahid Sykes, General Secretary Dome Okochi, Assistant Secretary Dossa Aziz, Treasurer John Rupia, Assistant Treasurer Ally Sykes) congratulating Her Majesty on her coronation...
Kutoka kitabu cha Abdul Sykes...
 
Nguruvi3,
Muda mfupi uliopita hii leo Ijumaa tarehe 17 Juni 2016 mmoja
wa viongozi wa Kavati la Mwalimu Nyerere amenishukuru kwa
nyaraka kutoka kwangu ambayo wameionyesha katika Kavati.

Ningependa kuweka hapa:
Mohamed Said: NYARAKA ZA MOHAMED SAID KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE

...an undated copy of the letter from the TAA to Queen Elizabeth signed by the entire executive (the President, Julius Nyerere, Vice-President Abdulwahid Sykes, General Secretary Dome Okochi, Assistant Secretary Dossa Aziz, Treasurer John Rupia, Assistant Treasurer Ally Sykes) congratulating Her Majesty on her coronation;
 
Asante sana kwa mohammed said kukwataka kuandika historia mpya ya tanganyia kama sio tanzania,
Lakini lazima ujue uwezi kuandia historia mpya bila ya kumweka nyerere pia kama wao hao kina syks ,sijui tewa waliona umuimu wa nyerere iweje ww nani kukataa mchango wake kama wao wenyewe waliona hawawezi kuendelea bila kumkabizi chama nyerere, siwezi nikakubishia kwa sababu mm n kijana mdogo sana wa miaka ya tisini , na pia siwezi kukubaliana na ww kwa sababu unavyoonekana huko biasi sana nakutaka kumtenga nyerere kwa sababu n mkristo ma hao kina syks ma ww n waislam
Ahsante, na hakika ni kijana mdogo unayesoma na kufikiri.

Wengi wanadhani tupingana na maandishi. La hasha, tunapinga upotoshaji na udhalilishaji ambao Mohamed ameufanya kwa muda mrefu, tulimpuuza lakini kadri siku zinavyokwenda anafikia pabaya

Alichokifanya Nyerere hakisemwi kama serikali bali Nyerere
Mwinyi akimsweka Rumande Kassim Juma ilikuwa ni serikali si Mwinyi
Majuzi Ponda katiwa korokoni na Kikwete, ilikuwa serikali, si Kikwete

Hayo yanaonyesha chuki mbaya iliyojaa kifuani kwa huyu mzee
Kwamba hukumu yake ni dhidi ya mtu kwa kumwangalia kupitia jicho lingine

Maandishi yake yamelenga kumdhalilisha Nyerere na hilo amefanikiwa sana.

Bado kiu na matamanio ya kumsumanga Nyerere hayajaisha,anadai amefunga pazi la historia ya Nyerere na kwamba Nyerere si muhimu tena si lolote si chote katika sisi na Tifa! Tazama alipofikia

Yeye na Abdul Sykes sasa wamefunga pazia la Nyerere! real

Mohamed anajiweka level ya Nyerere ili Abdul awe juu zaidi! Tazama hatari hii

Huyu Mohamed analingana na Nyerere kweli kiasi cha kufikia pazia lake ktk show

Hayo yote anayafanya ili kumuonyesha Sykes na familia yao kuwa ni watu muhimu sana katika Taifa hili.

Na anafanya hivyo kumweka katika mizani Abdul Sykes na Nyerere

Tukiwaweka katika mizani utaona dhalili. Ima wanadhalilika wote, na likely Abdul

Ndiyo maana tunamsihi aandike historia, asiandike kwa lengo la kumtukana Nyerere, kumdhalilisha na kumfanya nothing.

Anaweza kuandika tu bila chuki za kikabila au kidini na akasomeka vizuri
 
Umepandwa na hamaki hata unasema maneno ambayo mie sijasema.
Wala sitajitetea kwa kuwa hakuna maana.

Kwangu mimi historia ya Mwalimu Nyerere katika TANU na kudai uhuru
nimeieleza na hivyo nimelishusha pazia.

Baada ya hilo kilichofata ni ''reviews'' za kitabu mialiko kutoka vyuo kadhaa
Afrika, Ulaya na Marekani.

Hakuna hata mtafiti mmoja aliyesoma kitabu na paper zangu aliyenishutumu
mimi kwa matusi dhidi ya Nyerere.

Ndiyo leo unaona hata Maktaba ya Mohamed Said imeweka nyaraka katika
Kavazi la Mwalimu Nyerere.
 
Nyerere alifanikiwa kuwafukuza wakoloni, hakuna asiyefahamu msimamo wa Nyerere dhidi ya mataifa ya Ulaya na Marekani na hata kwa baadhi ya Mataifa au Viongozi wa Afrika walioonyesha kutumiwa na hao wamagharibi. Alionekana hadharani akiwapinga waziwazi, hivi kwa akili yako unadhani leo akitokea "KANJANJA" mmoja anayetaka kumshusha hadhi Nyerere wataacha kumuunga mkono!? Hivi unadhani wataacha kumpigia nyimbo za pongezi! Wao wenyewe hawampendi kwa sababu alikuwa mwiba kwao hadi mauti yanamkuta! Hivyo mialiko hiyo inawezekana kabisa na nidhihaka kwako kwa kutotaka kuthamini mtu aliyewatoa jasho! Hivi kwa akili yako, hao kina Sykes unaowatukuza walishindwa nini kwenda wao kama wao huko kwa Malkia!? Hivi ni akili nzuri kweli kutaka kuwaweka mizani Sawa na Kambarage!? Wao walishindwa nini hata kumbembeleza ajiunge nao!? Nani anafahamika kimataifa!? Wataachaje kukualika wakati unajaribu kumshasha mtu ambao wao wenyewe wanatamani hata asitamkwe kwa sababu aliwawekea kauzibe!? Ukombozi wa Tanganyika ulianza siku mkoloni alipoingia Tanganyika na wala haukuasisiwa na hao kina Sykes unaotaka tuwaabudu!! Nani asiyefahamu kuwa kina Bwana Heri walinyongwa sababu ya kudai uhuru!? Nani asiyefahamu Kuwa kina Chief Mirambo, Mkwawa wote hao hawakumtaka mkoloni!? Hao kina Sykes ni kina nani hasa hadi unatulazimisha kwa nguvu zote tuwaabudu!? Hivi, hujui kuwa mtoto anaweza kuwa maarufu kuliko baba!? Hujui kuwa mtoto anaweza kupata mafanikio makubwa kuliko baba!? Obama ni Rais wa Marekani, historia itamkumbuka yeye au baba yake!? Hitler aliusumbua huu ulimwengu miaka ya 1939 - 1945, historia inamkumbuka baba yake au yeye!? Wewe unataka tumshushe hadhi Nyerere eti pazia limeshushwa, tumlaumu baba yako aliyejinyima ukapata hiyo elimu unayotaka kuitumia vibaya au tukulaumu wewe!? Nyerere alikibeba Chama baada ya kuingia hivyo lazima historia itamkumbuka tu! Hao kina Sykes ni kama WAZAZI wanaofurahia matunda yaliyo letwa na kijana Nyerere waliyemkaribisha chamani kama baba anavyojivunia mafanikio ya mwanae!!
 
Back
Top Bottom