hahahaaaaaTatizo wajomba za mudi mnajuaga wasaudia ni binamu zenu yaani mkivaa kobazi mnajikutaga waarabu flani wa gongolamboto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaaTatizo wajomba za mudi mnajuaga wasaudia ni binamu zenu yaani mkivaa kobazi mnajikutaga waarabu flani wa gongolamboto
Wewe mwenyewe ulisaidiwa Dar na waislamu wakakuweka mjini na kukufungua macho. Ukafundishwa dili za mjini na hao hao waislamu.HUWEZI KUWATENGANISHA WAKRSTO NA WAYAHUDI MAANA WOTE WANAMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA...NA HILO JAMBO LINAWAKERA MAADUI WA WAYAHUDI
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANAMUABUDU MUNGU WA KIARABU ALLAH AMBAE ANA CHUKI NA WAYAHUDI.
Ila nao wanaficha vifo vyao ila Dunia ya leo hao hao wanatuma kwa majonzi vifo vya ndugu zao piamnahisi wale ni waafrika mnatuua huko Msumbiji , Drc , Nigeria , Niger , Cameroon , Bukina Faso na tunawachekea tu , Wayaudi hawachek na kima
Well i wish i can write your language but i am writing in english which is international language for communication between between people of the worldebu jitambue we mbuz , upo hapa unaongea lugha ya mkolon kutetea waarabu hii ni ishara tosha kuwa wewe ni hamnazo , Kabla ya trh 7 oct hakukuwa na vita pale Israel , Mollel kapotea baada ya shambulio la Kigaid la Hamas trh 7 oct 2023 , hv lin nyie mbuz mtaanza jitambua na kujipenda badala ya kuabudu waarab ambao wanawauza kama watumwa ( kaangalie "Human trafficking" inayoendelea sasa hv , pia documentary ya "Maid in Hell" ukajifunze zaid , pia zipo documentary za Dw zinaweja waz mali zetu waafrika zinaishia Dubai karne ya 21 mtu mweusi kushabikia mtu anaekufanya maskin kisa ni dini moja vitukuu vitatucheka sana baadae kama tunavyowacheka waliopewa vioo wakauza uhuru wao ingawaje wao walikuwa hawana exposure ya dunia , sasa hv waarab wanaenda kusoma ulaya ila huku kwenu wameunda vikundi vikiwahamasisha kupinga elimu dunia ambayo wao wanapambana kuipata , hawa waarabu endeleen kuwachekeeni )
Ukraina ilivamiwa na waislamu hata unachokiandika hukijuikwamba hujui kuwa Ukraine ilivamiwa ? hv mnatumiaga akili gan ? huwa nawashanga waislam wa afrika nyinyi ndo kikwazo kwenye bara letu, tulikuwa tunaanza kupiga hatua mmetuletea mivita ya kijinga mmevuruga amani ya bara letu , mnaiba mali mnapeleka uarabuni halaf wao wanawalipa kwa kujenga misikiti wakati wao wanaenda kula bata America
Dont get upset if your want to know write on googleEthiopia is mixture of races , black arent racists like arabs who dont want to mix with other races , they killed all blacks in northern africa and remaining blacks were pushed towards centre of Sahara deserts suffering from shortage of water &food , electricity and poor security , keep on supporting arabs but they dont care about you
Utumbo mtupu umeandika hapa ,, hivi kwa akili yako ya kushikiwa wewe unadhani matatizo yameanza October 7hv una akili wewe kabla ya tarehe 7 oct kulikuwa na vita gan pale ? kwann hawakuwaua wale mateka wa nchi nyingine ? kwann hawakuwaua mateka wa kiyaudi ? hv unahisi waarab wanakuwazia wewe kama mwanadamu kamili ? , kaangalie documentary ya MAID IN HELL uone dada zenu wanavyoteswa na kuuliwa wakiwa hai , yaan kwenye waarabu ndo wanaua mtu mweusi na kuwaacha wengine halaf unasema kulikuwa na vita , kwamba vita inamuua mtu mweusi tu ila mfilipino , muindonesia , mchina , mmarekan , myaudi hapaswi kuuliwa ? HV LINI UTAPATA AKILI WEWE , UKIITWA NUSU MWANADAMU UTABISHA ?
Mr uharo kafika 🤣
Ukraina ilivamiwa na waislamu hata unachokiandika hukijui
22 countries uarabuni which one be specific. don't just fabricate your accusation without proofkwamba hujui kuwa Ukraine ilivamiwa ? hv mnatumiaga akili gan ? huwa nawashanga waislam wa afrika nyinyi ndo kikwazo kwenye bara letu, tulikuwa tunaanza kupiga hatua mmetuletea mivita ya kijinga mmevuruga amani ya bara letu , mnaiba mali mnapeleka uarabuni halaf wao wanawalipa kwa kujenga misikiti wakati wao wanaenda kula bata America
mbona hasira nyingi ? Bwana wako yuko mahakamani ??Uharo mamako 😆 😆 😆 😆 😆
Teh teh teh.Uharo mamako 😆 😆 😆 😆 😆
Acha kupoteza muda wa watu kuandika ujumbe mreeeefu kumbe unajaza uharo tuebu jitambue we mbuz , upo hapa unaongea lugha ya mkolon kutetea waarabu hii ni ishara tosha kuwa wewe ni hamnazo , Kabla ya trh 7 oct hakukuwa na vita pale Israel , Mollel kapotea baada ya shambulio la Kigaid la Hamas trh 7 oct 2023 , hv lin nyie mbuz mtaanza jitambua na kujipenda badala ya kuabudu waarab ambao wanawauza kama watumwa ( kaangalie "Human trafficking" inayoendelea sasa hv , pia documentary ya "Maid in Hell" ukajifunze zaid , pia zipo documentary za Dw zinaweja waz mali zetu waafrika zinaishia Dubai karne ya 21 mtu mweusi kushabikia mtu anaekufanya maskin kisa ni dini moja vitukuu vitatucheka sana baadae kama tunavyowacheka waliopewa vioo wakauza uhuru wao ingawaje wao walikuwa hawana exposure ya dunia , sasa hv waarab wanaenda kusoma ulaya ila huku kwenu wameunda vikundi vikiwahamasisha kupinga elimu dunia ambayo wao wanapambana kuipata , hawa waarabu endeleen kuwachekeeni )
Sio roho ngumu mkuu bali ni akili zao zinafanana Kabisa na majina wanayoitwa huko kwenye mahekalu yao ya kwaya (KONDOO).Hawa Waisrael weusi wana roho ngumu kama kimburu😂😂😂
Huwezi kuelewa ninachoandika mimi manake tatizo kubwa ni upande wako.Sijaelewa nini hiki umeandika hapa ila, tudhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
Una ndoto za dini za majahazi.Tuanze na suala la UBAGUZI wa hao Unawaita TAIFA TEULE.
Hapa tunaona WAYAHUDI WA ETHIOPIA Kupigwa sindano za kufunga UZAZI bila HIARI.
![]()
Ethiopian women in Israel 'given contraceptive without consent'
Israel's health ministry is investigating claims that Ethiopian immigrants have unwittingly had Depo-Provera jabs for yearswww.theguardian.com
Hapa tutaona UBAGUZI WA WAZI KWA WAISRAELI WEUSI wenye UKATILI WA HALI YA JUU.
![]()
Ethiopian Jews suffer racism in Israel
There are more than 140,000 Ethiopian Jews live in Israel - Anadolu Ajansıwww.aa.com.tr
![]()
Are Ethiopian Jews Israel's second-class citizens? – DW – 09/29/2018
Ethiopian Jews have taken to the streets many times, demanding equality before the law in Israel. In 2015 protests took place against discrimination. But do the activists think anything has changed between now and then?www.dw.com
Sasa uje useme hizo ripoti wametoa waislamu wa Israeli manake Kafiri hata aone Tembo lzm akatae aseme kaona kenge.
Amka we muefeso, Wayahudi weusi hawana Haki yyt hapo. MBWA wa kiyahudi ni bora kuliko mwafrika hapo Israeli.
Endelea kuimba kwaya za upendo. Itakula kwako.
Kila taifa au jamii ina tamaduni zake.Una ndoto za dini za majahazi.
Kuna aliyeita taifa teule?
Kuna aliyesema ni wabaguzi ama s wabaguzi?
Wewe hapo kwenu buza kuna mtu mpogoro au mmakonde aliyeoa mwarabu ?
Umewahi kujiuliza kwanini ?
nina argue na mtoto wa 1990's , let me rest my case nilifikiri mtu mzima.Kila taifa au jamii ina tamaduni zake.
Mpogoro anapika makande mwarabu anakula halua unataka aue mtoto wa watu?
Umeshawahi kuona mmasai anaolewa na muha? Au Muhaya anaolewa na Mchaga?
Ikitokea hivyo ujue ni mmoja kwa alfu 10,000 . Hata hapo bongo kuna Waarabu wengi tu wameolewa na waafrika lkn Hio sio hoja hapa.
Hapa tunajadili nyie wagalatia kujipendekeza kwa Wayahudi ambao wewe ni mmoja wao.
Nenda Israel km waafrika wanavyokwenda DUBAI au Oman Uone advertising hapo hapo Airport.
Lazm wakuvue mpk Chupi kuangali km hizo kende zako ni Og au umeweka za kichina .
Acha kutetea viumbe ambao Dunia nzima hawana rafiki.
Taufa teule kwenye ubora wake wa kutangaza andiko.
Walidhani wazungu ndugu zao.
Mara ghafla wamepigwa pingu.
Tusubiri taarifa kamili.