Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Hata familia ambayo baba au mama wanakopakopa ovyo madukani na kwa majirani inadharaulika. Tunakubali kuendelea kuwa vibaraka wa wanaotukopesha. Lazima Rais atambue Hili. ifike wakati lazima waone aibu. Nchi Ina kilakitu hii..... Ukweli no mchungu Ila unatibu...kikopakopa ovyo no kutokuwa na mawazo mbadala juu ya ukuzaji uchumi. Naungana na Hando na ndugai
 
Kilichomsibu ni hicho hicho kinachopigiwa kelele siku zote na yeye mwenyewe ndio alikuwa mtetezi mkuu !! Ndio uzuri wa sheria. !! Ni kama msumeno unakata mbele na nyuma !!
 
Alilazimishwa kujiuzulu
Kalazimishwa na nani,c kajiuzulu mwenyewe,sasa ulitegemea hiyo miradi ya magufuli angeimaliza kwa fedha kutoka wapi au mlitaka imshinde kuiendeleza mpate cha kusema huyo bwana wenu magufuli alikuwa akikopa kwenye mabenki ya kibiashara kwa mariba makubwa na mlikaa kimnya.
 
Hujui kama mikopo inaumiza wananchi tu deficit inaendelea kuwa kubwa kwa sababu nchi ina most of his revenues kulipa madeni, Naona gavana hapo katumika kisiasa tu.
Kama unaamini uchumi ni sayansi pia unatakiwa utambue kila kauli ya kiuchumi inatakiwa itolewe baada ya utafiti au uchunguzi kufanyika.

Inakuwa ni jambo la aibu kwamba hali ya uchumi inatolewa na mtu baki ambaye hana background ya kufanya tafiti kiuchumi.

Bado ninaamini kauli zinazotolewa na wataalamu wetu ni za kweli kwa sababu zao zinakuwa documented na published na zinakuwa zinarejelewa.

Swali: Je, Hango kauli yake ipo published na documented kwa ajili ya marejeleo?
 
Alichosema Hando sio jambo jipya limeshazungumzwa Bungeni na wabunge wataalamu wa masuala ya Fedha yeye amekumbushia tu
 
Tafakari yetu msikilize huyu mtaalamu wa uchumi
 
Wapo wengi nyuma yao ni kama moto wa kifuu unakolea kidogokidogo
 

Profile​


Hon. Oran Manase Njeza​

Member Type : Constituent Member

Constituent : Mbeya Vijijini

Political Party : CCM

Phone : +255784332324

P.O Box : P.O Box 3025 Mbeya

Email Address : o.njeza@bunge.go.tz

Date of Birth : 1956-08-23


Education History :​


School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
University of South AfricaMDP- Business Management20012002Executive Certificate
Insead -FranceAMP-Business Management19992000Executive Certificate
National Board of Accountancy and AuditorsFCPA19831984Professional Degree
International School of Management-Franceongoing - Doctorate in Business Administration20152020PhD
University of South AfricaMasters of Business Administration20032005Masters Degree
NSTI/St. Augustine University of TanzaniaAdavanec Diploma in Accountancy19801982Advanced Diploma
Dar es Salaam School of AccountancyCertificate in Accountancy/Management19751976Certificate
Sangu Secondary SchoolCSEE19711974Secondary School
Utengule Usongwe Primary SchoolCPEE19641970Primary School
 
Alichosema Hando sio jambo jipya limeshazungumzwa Bungeni na wabunge wataalamu wa masuala ya Fedha yeye amekumbushia tu
Kina Luhaga Mpina pia walishalizungumza muda mrefu sana bungeni naye ni Msomi wa mambo ya Fedha utampinga?

Profile​


Hon. Luhaga Joelson Mpina​

Member Type : Constituent Member

Constituent : Kisesa

Political Party : CCM

Phone : +255759278388

P.O Box : P. O. Box 44, Mwanhuzi, Meatu

Email Address : l.mpina@bunge.go.tz

Date of Birth : 1975-05-05

Education History :​


School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Strathclyde University, UKMaster Degree in Science in Finance20092010Masters Degree
Mzumbe UniversityBachelor Degree in Accountancy and Finance20002003Bachelor Degree
Karatu Secondary SchoolACSEE19951997Secondary School
Meatu Secondary SchoolCSEE19911994Secondary School
Mwandu Itinje Primary SchoolCPEE19831989Primary School

Employment History :​

 
Hando umejiandaa vizuri nje ya Efm? Angalia hawakawii kumpigia simu majizo wakimshurutisha aterminate mkataba wako,
 
 
Hivi mtu kama Gerald Hando ni kitu gani nchi hii hadi kama nchi tuseme '' Gerald Hando kasema.......". Mleta mada upumbavu na ulofa unakusumbua. Hando is generally nothing zaidi ya mlevi flani hapa nchini ambaye pengine angepaswa kuongea zaidi na Breweries badala ya jamii pana kama hii.
 
Tusimuhukumu Hando kwa ulevi wake tunamjadili Hando kwa kauli yake kuhusu Mikopo na alivyounga mkono hoja ya Ndugai
 
Anaelewa maana ya kukopa kopa hovyo?
Hivi Serikali ikisema imuite aeleze mkopo wa hovyo Ni upi ataeleza?

Majitu Kama huyu Mwendazake alikuwa anawafungasha kwenye viroba..

Anyway unakuta huyo kasomea vitu hata asivyovielewa 👇
 
Wacha watu waongee tu, ukimya hautatusaidia kama taifa, hakuna mtu asiyeweza kuwa Rais wa mikopo ili aendeshe nchi, hiyo ni njia ya kimaskini sana wa fikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…