Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Miaka flani nikiwa kijana mdogo,babangu alikua na tabia ya kunituma kwenye duka flani kwenda kukopa,aisee jamaaa alikua akiniona tuuu anakunja sura[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nilikua najisikia mnyonge sanaaaa,mbaya zaidi alikua ananihoji mimii kwanini babangu anakopa kopaa sanaa?.kimsingi ilikua inanitesaa sanaaa
 
TUNAKOPA NA PIA TUNALIPA, SIONI TATIZO, JUZI NOVEMBER MIKOPO MINNE ILIMACHUA HIVYO FEDHA ZILILIPWA NA SEREKALI YETU, AACHE CHOKOCHOKO HUYU PAROKO.
 
Hando alimaliza forodhani mwaka mmoja mbele yangu tumekua pamoja.

Hawa hawa wanaoponda mikopo hivi sasa ndio watakaokejeli awamu ya sita isipomaliza miradi mikubwa mingi iliyoipokea kutoka awamu ya tano.

Tukubali kusuka au kunyoa.
 
Hakuna mtu karib hapo akunyanganye simu uchangie baadae! Umelewa sana!
 
Je ni kweli Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni?
 
Je ni kweli Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni?
 
ww nae urw nothing just like him and me ko unamzuia mtu kusema maoni yake huu ndo uchawi wenyewe nadhan
 
umepanik ww ........attack adeas not hando@
 
Mkuu kamaTaifa tuna rasilimali za kutosha tu, kuanzia Bandari, hifadhi za Taifa, Madini, Gas n.k. Tatizo lililopo ni usimamizi hafifu wa matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo nchini. Kwanza zinatumika chini ya kiwango, pili kinachopatikana kinanufaisha wachache badala ya Taifa kwa ujumla na pia kukithiri vitendo vya rushwa na urasimu katika usimamizi wa uvunaji na rasilimali hizo pamoja na rushwa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nonsense!.
 
Hakuna mtu karib hapo akunyanganye simu uchangie baadae! Umelewa sana!
Hahaha...aisee kamanda mshukuru sana Magufuli bila hivyo sasa hivi mngekuwa pale ufipa mnapimiwa gongo kwenye viroba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…