Jamani sasa atoto wa watuhajatulia kivipi?Hakuna aliyekamilika mkuu...shukuru kwa huyo alivyo...wengine hawavumiliki...yaani huyo keshaisoma hii dunia na ameona akiendekeza vitu hivyo ataumia bure...huyo amejiwekea kinga ya kisaikolojia..yaani huwezi mzingua kabisa...as long as anakupenda na anatimiza majukumu yake vyema...shukuru Mungu kaka...akina atoto hawajatulia kabisa.
Hashakum na kumRadhi natanguliza.."huu ndiyo UGONJWA mkubwa kwa wTZ, wanapenda kulialia, kulaumu, kununa nuna, kutunga Usanii, kufura/kuvimba nk ilimradi apewe attension na aachiwe bure alilofanya !! huu utamaduni umepitwa na wakati....Sasa unasubiri nini kumuoa?Usitegemee kubembelezwa kama mtoto wakati ni mtu mzima mapenzi yakubembelezana na kuchuniana waachie wasiojielewa na watoto wa secondary.Kama anakupenda na wewe unampenda basi hilo ndio la msingi
Wa hivyo unadhani huwa wanaambilika basi, kuna mmoja namfahamu ni wa hivi hivi yaani haina kuremba, ukimuelekeza anakutoa baruu.yupo vizuri...na nakushauri tu...ujaribu kumwambia jinsi unavyotaka awe...
Aaaaaaah! Mugaka, hebu sema ukweli, kwa tamaduni za kukurya huyu si utamugecha siku hiyo hiyo!Ha ha ha,mimi ndo huwa nawapenda hao mkuu.sio hawa wa uswazi wana gubu hatari.huyo yuko straight and clear na ni muwazi .pia hana unafiki kama hawa mashankupe wengine wa mjini.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ha hahaha bora simu izime anaweza kuzimia yeye
ila kama ni muaminifu..anazosifa nne kati ya sita alizokuwa anahitaji...sio vibayaWa hivyo unadhani huwa wanaambilika basi, kuna mmoja namfahamu ni wa hivi hivi yaani haina kuremba, ukimuelekeza anakutoa baruu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamani sasa atoto wa watuhajatulia kivipi?
Hiyo id yake yenyewe utata.Hashakum na kumRadhi natanguliza.."huu ndiyo UGONJWA mkubwa kwa wTZ, wanapenda kulialia, kulaumu, kununa nuna, kutunga Usanii, kufura/kuvimba nk ilimradi apewe attension na aachiwe bure alilofanya !! huu utamaduni umepitwa na wakati....
bigmomkipipa kuwa GENTLEMAN bhana...
Sio vibaya!! We acha utani, mnavyopenda kunyenyekewa nyie!!ila kama ni muaminifu..anazosifa nne kati ya sita alizokuwa anahitaji...sio vibaya
[emoji109] [emoji109]Mwanamke ana akili nyingi kukuzidi kaka,,kwa maelezo machache tu ,,nimegundua yeye yupo tayari kwa kila kitu ,but wewe ndo hujiamini kama Mwanaume,,Mimi Nimempenda sana Mwanamke mwenye akili ni nadra sana kumpata,so Tumia akili nyingi kukaa na huyo Dada japo akili na umri haviendani kabisa unaweza mke anaekuzidi umri lakini ukawa na akili za kumuhendo zaidi
Exactly. love is feelings....hana mzuka kwa jamaaHakuna penzi hapo.... au anampenda ila anaualakini yaani hana uhakika nae.
Aisaee kumbe hivo !! Basi kweli kuna watu na makabila yao... Yaani wTZ kiboko!!Hiyo id yake yenyewe utata.
wengi wenye mapenzi ya kitoto ndio wapo hivyo....ila kwa wale waliokaa na mambabu hawawezi kupenda kunyeenyekewa...japo unyenyekevu kwa mtoto wa kike ni asili ya kuonyesha kuwa mtoto wa kike kafundwa akafundika.....Sio vibaya!! We acha utani, mnavyopenda kunyenyekewa nyie!!
Aisee!!wengi wenye mapenzi ya kitoto ndio wapo hivyo....ila kwa wale waliokaa na mambabu hawawezi kupenda kunyeenyekewa...japo unyenyekevu kwa mtoto wa kike ni asili ya kuonyesha kuwa mtoto wa kike kafundwa akafundika.....
Sio kwamba ana akili nyiingiiii. Manzi Jamaa siyo size yake. Ni sawa na nikk minaj awe related na baraka da prince. Baraka ataburuzwa tu na nikk atakuwa tayari kwa lolote kutoka kwa baraka [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke ana akili nyingi kukuzidi kaka,,kwa maelezo machache tu ,,nimegundua yeye yupo tayari kwa kila kitu ,but wewe ndo hujiamini kama Mwanaume,,Mimi Nimempenda sana Mwanamke mwenye akili ni nadra sana kumpata,so Tumia akili nyingi kukaa na huyo Dada japo akili na umri haviendani kabisa unaweza mke anaekuzidi umri lakini ukawa na akili za kumuhendo zaidi
Si ndio kuzidiwa akili huko!Sio kwamba ana akili nyiingiiii. Manzi Jamaa siyo size yake. Ni sawa na nikk minaj awe related na baraka da prince. Baraka ataburuzwa tu na nikk atakuwa tayari kwa lolote kutoka kwa baraka [emoji23][emoji23][emoji23]