Haniulizi kwa lolote

Haniulizi kwa lolote

Hakuna aliyekamilika mkuu...shukuru kwa huyo alivyo...wengine hawavumiliki...yaani huyo keshaisoma hii dunia na ameona akiendekeza vitu hivyo ataumia bure...huyo amejiwekea kinga ya kisaikolojia..yaani huwezi mzingua kabisa...as long as anakupenda na anatimiza majukumu yake vyema...shukuru Mungu kaka...akina atoto hawajatulia kabisa.
Jamani sasa atoto wa watuhajatulia kivipi?
 
Sasa unasubiri nini kumuoa?Usitegemee kubembelezwa kama mtoto wakati ni mtu mzima mapenzi yakubembelezana na kuchuniana waachie wasiojielewa na watoto wa secondary.Kama anakupenda na wewe unampenda basi hilo ndio la msingi
Hashakum na kumRadhi natanguliza.."huu ndiyo UGONJWA mkubwa kwa wTZ, wanapenda kulialia, kulaumu, kununa nuna, kutunga Usanii, kufura/kuvimba nk ilimradi apewe attension na aachiwe bure alilofanya !! huu utamaduni umepitwa na wakati....

bigmomkipipa kuwa GENTLEMAN bhana...
 
Ha ha ha,mimi ndo huwa nawapenda hao mkuu.sio hawa wa uswazi wana gubu hatari.huyo yuko straight and clear na ni muwazi .pia hana unafiki kama hawa mashankupe wengine wa mjini.
Aaaaaaah! Mugaka, hebu sema ukweli, kwa tamaduni za kukurya huyu si utamugecha siku hiyo hiyo!
 
Mwanamke ana akili nyingi kukuzidi kaka,,kwa maelezo machache tu ,,nimegundua yeye yupo tayari kwa kila kitu ,but wewe ndo hujiamini kama Mwanaume,,Mimi Nimempenda sana Mwanamke mwenye akili ni nadra sana kumpata,so Tumia akili nyingi kukaa na huyo Dada japo akili na umri haviendani kabisa unaweza mke anaekuzidi umri lakini ukawa na akili za kumuhendo zaidi
 
Mpe namba zangu, I will take care of the rest...
 
She is Cookie Lyon!

1476958230485.png
 
Mwanamke ana akili nyingi kukuzidi kaka,,kwa maelezo machache tu ,,nimegundua yeye yupo tayari kwa kila kitu ,but wewe ndo hujiamini kama Mwanaume,,Mimi Nimempenda sana Mwanamke mwenye akili ni nadra sana kumpata,so Tumia akili nyingi kukaa na huyo Dada japo akili na umri haviendani kabisa unaweza mke anaekuzidi umri lakini ukawa na akili za kumuhendo zaidi
[emoji109] [emoji109]
 
Sio vibaya!! We acha utani, mnavyopenda kunyenyekewa nyie!!
wengi wenye mapenzi ya kitoto ndio wapo hivyo....ila kwa wale waliokaa na mambabu hawawezi kupenda kunyeenyekewa...japo unyenyekevu kwa mtoto wa kike ni asili ya kuonyesha kuwa mtoto wa kike kafundwa akafundika.....
 
Aisee!!
 
Mwanamke ana akili nyingi kukuzidi kaka,,kwa maelezo machache tu ,,nimegundua yeye yupo tayari kwa kila kitu ,but wewe ndo hujiamini kama Mwanaume,,Mimi Nimempenda sana Mwanamke mwenye akili ni nadra sana kumpata,so Tumia akili nyingi kukaa na huyo Dada japo akili na umri haviendani kabisa unaweza mke anaekuzidi umri lakini ukawa na akili za kumuhendo zaidi
Sio kwamba ana akili nyiingiiii. Manzi Jamaa siyo size yake. Ni sawa na nikk minaj awe related na baraka da prince. Baraka ataburuzwa tu na nikk atakuwa tayari kwa lolote kutoka kwa baraka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si ndio kuzidiwa akili huko!
 
Back
Top Bottom