imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 992
Jamani sasa atoto wa watuhajatulia kivipi?Hakuna aliyekamilika mkuu...shukuru kwa huyo alivyo...wengine hawavumiliki...yaani huyo keshaisoma hii dunia na ameona akiendekeza vitu hivyo ataumia bure...huyo amejiwekea kinga ya kisaikolojia..yaani huwezi mzingua kabisa...as long as anakupenda na anatimiza majukumu yake vyema...shukuru Mungu kaka...akina atoto hawajatulia kabisa.