Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Life is a beach and every dog has it's day [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Hans atapotezwa, awe making - utasikia ya kuwa anahujumu uchumii !!
 
Huyo Hans atapotezwa, awe making - utasikia ya kuwa anahujumu uchumii !!

Ndio kashapotezwa hivyo, hujasikia kapewa kesi ya money laundry? Money laundry ni mbaya kuliko kuhujumu uchumi, money laundry haina dhamana.
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye anachuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza jwa nini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo. Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho. Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!

This guy was very very very very very very very very right!
 
Ukitaka kujua Hans pope ni mhaini soma kitabu kinaitwa The Dark Side of Nyerere utajua kwanini aliitwa mhaini na wengine wengi
Huyu jamaa alishawai kufungwa maisha. Na jamaaa ana jiamini sana,
 
Hans Poppe alikuwa na lugha chafu sana kwa msiomfahamu alikuwa anawatukana mpaka mawaziri kwenye serikali ya JK huku akisema kuwa nchi hii Hakuna wa kumfanya lolote......

Alikuwa analalamikiwa na Tanroads kwa kuzidisha uzito kwenye maroli yake na yeye akawa anawajibu watu kuwa yeye haongei na mbwa......

Kwa mhuni fulani mwenye majibu ya kihuni na kejeli iliyochanganyikana na dharau....watu wengi tulijiuliza hii jeuri anaitoa wapi....!!
 
Enzi hizo kulikuwa na kauli kama "...nenda popote kashtaki!, ...unanijua unaniskia?, ...huwezi kunifaanya chochote!"
Kuna watu walikuwa wakitembea na serikali mifukoni mwao.
 
Enzi hizo kulikuwa na kauli kama "...nenda popote kashtaki!, ...unanijua unaniskia?, ...huwezi kunifaanya chochote!"
Kuna watu walikuwa wakitembea na serikali mifukoni mwao.
Huyo bwana alikuwa ni miongoni mwa wenye kutoa kauli hizo hasa kwa viongozi wa serikali......
 
laah ningeshangaa kama kauli hii kaisema leo
 
Back
Top Bottom