Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Life is a beach and every dog has it's day [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Hans atapotezwa, awe making - utasikia ya kuwa anahujumu uchumii !!
 
Huyo Hans atapotezwa, awe making - utasikia ya kuwa anahujumu uchumii !!

Ndio kashapotezwa hivyo, hujasikia kapewa kesi ya money laundry? Money laundry ni mbaya kuliko kuhujumu uchumi, money laundry haina dhamana.
 

This guy was very very very very very very very very right!
 
Ukitaka kujua Hans pope ni mhaini soma kitabu kinaitwa The Dark Side of Nyerere utajua kwanini aliitwa mhaini na wengine wengi
Huyu jamaa alishawai kufungwa maisha. Na jamaaa ana jiamini sana,
 
Hans Poppe alikuwa na lugha chafu sana kwa msiomfahamu alikuwa anawatukana mpaka mawaziri kwenye serikali ya JK huku akisema kuwa nchi hii Hakuna wa kumfanya lolote......

Alikuwa analalamikiwa na Tanroads kwa kuzidisha uzito kwenye maroli yake na yeye akawa anawajibu watu kuwa yeye haongei na mbwa......

Kwa mhuni fulani mwenye majibu ya kihuni na kejeli iliyochanganyikana na dharau....watu wengi tulijiuliza hii jeuri anaitoa wapi....!!
 
Enzi hizo kulikuwa na kauli kama "...nenda popote kashtaki!, ...unanijua unaniskia?, ...huwezi kunifaanya chochote!"
Kuna watu walikuwa wakitembea na serikali mifukoni mwao.
 
Enzi hizo kulikuwa na kauli kama "...nenda popote kashtaki!, ...unanijua unaniskia?, ...huwezi kunifaanya chochote!"
Kuna watu walikuwa wakitembea na serikali mifukoni mwao.
Huyo bwana alikuwa ni miongoni mwa wenye kutoa kauli hizo hasa kwa viongozi wa serikali......
 
laah ningeshangaa kama kauli hii kaisema leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…