Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hata kama una BIFF naye la PRIMARY, lazima AKUSHUGHULIKIEKila aliyepingana naye lazima atakiona !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama una BIFF naye la PRIMARY, lazima AKUSHUGHULIKIEKila aliyepingana naye lazima atakiona !
Yeye anasema Magufuli ana chuki binafsi na transporters, mimi nasema yeye ana chuki binafsi na Magufuli.
Miezi kadhaa iliyopita alikuwa akihojiwa na kipindi cha television (sikumbuki kituo gani), jamaa aliyaongea hayahaya, tena kwa dharau na kebehi kubwa kwa magufuli utafikiri anamuongelea mtoto wake. Nilijiuliza sana huyu jamaa anapata wapi kiburi hiki? Nikahisi kuna nguvu nyuma yake na si bure!
Inawezekana jamaa ana hoja, lakini jinsi anavyowakilisha hoja zake inaudhi.
Simuungi mkono Magufuli, lakini si vema pia mtu kuwasilisha hoja kwa dharau kwa waziri mwenye dhamana!
Ndio kashapotezwa hivyo, hujasikia kapewa kesi ya money laundry? Money laundry ni mbaya kuliko kuhujumu uchumi, money laundry haina dhamana.
Akikoma wewe utafaidi nini?! Fikra za ki masikini kabisaHuyu Hans Pope
Safari hii atakoma!.
ZZK aliniudhi sana kwa jinsi alivyotengengeneza 'uasi' ndani ya cdm lakini kuna mambo anakuwa na maono sahihi kwa taifa. Mfano mzuri ni pale alipokuja na wazo la tume ya maridhiano ya kitaifa (kama walivyoanya Afrika ya Kusini). Hili wazo alilileta mapema sana wakati JK bado yuko madarakani maana kama fisiemu wenyewe walivyokuwa wanasema kuwa "ni nani msafi kati yetu?", ni wazi naye alijua hili taifa hakuna wa kumonyesha mwenzie kidole labda pale tutakapokubaliana kuwa uanzie point fulani.Hata kama una BIFF naye la PRIMARY, lazima AKUSHUGHULIKIE
Kama ni kweli bora akae mbali maana lengo la Mtukufu ni kumkomoa si kwamba ana kesiNasikia kasha kimbia nchi.
Acha Uongo wako siku hizi hana tatizo na huyo Mtukufu malaika toka chato bali kaamua kumkomoa kwa Visasi Visasi vya huko nyuma, Nchi inaongozwa na washamba lazima vituko viendeleePoppe hawa watoto tunawajua hata Nyerere walimchukia tena wakiwa jwtz, ajabu baba yao alikuwa polisi aliipenda nchi yake alikufa vitani akiitetea Tanzania, lakini watoto kama huyu wa TATOA anaendeleza chuki zake pia reli inawatia joto tumbo. Raisi hajazuia malori, barabara zimejengwa zinaendelea kujengwa ili gari zote zipite humo yakiwemo malori makubwa na madogo! Tatizo liko wapi?
inasemekana alikaa sehemu kwenye mazungumzo akamponda Mtukufu malaika toka chato kumbe kulikuwa na mpambe akamrecord akampelekea kila kitu ndipo Mtukufu magufuli akasema tafuta upenyo lazimisha foji hata sahihi yake aingizwe kwenye hiyo kesi kwa nguvu, kisha akiwa jela wamuongezee kesi zingine nyingi zaidi, Visasi vya namna hii havina tija kwa Taifa na havileti maendeleo kamwe.jamàa keshajumlishwa kwenye msala wa Simba na akimbwela magenge yatampasua. Aliyeruhusiwa kukosolewa ni JK tu wengine ni watukufu
Watanzania wanapaswa kuwa na utu na ubinadamu sasa ili wasaidie kuukataa Uonevu wa Mtukufu badala ya kushangilia kila akiwakomoa watu.Akikoma wewe utafaidi nini?! Fikra za ki masikini kabisa
Hadi biff la vidudu piaHata kama una BIFF naye la PRIMARY, lazima AKUSHUGHULIKIE
Mbwa sasa amekuwa mwenye Mbwa, kazi kweli kweliMhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.
Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.
Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.
Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.
Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.
Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.
Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
acha urongo mkuuHuyu gaidi hans pope alitaka kumua nyerere mchana kweupe pale saint peter....tena kanisani. Anasumbuliwa na laana ya nyerere...kibaya zaidi nchi hii ina watu wasiotaka kuchambua mambo hayo eighteen wheeler sio kwa barabara nyepesi. Haya hebu turudi miaka ya themanini na tisini....mahufuli yuko kwa wananchi lakini wananchi hawaoni.
Ushuzi tupu!Acha Uongo wako siku hizi hana tatizo na huyo Mtukufu malaika toka chato bali kaamua kumkomoa kwa Visasi Visasi vya huko nyuma, Nchi inaongozwa na washamba lazima vituko viendelee