Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Huu uzi nao yawezekana ukawa njia nayo ya kufanya huyu Pope mahakama ikaona naye aunganishwe kwenye kesi ya Aveva na Kaburu.
 
&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];Magufuli anachoweza sana ni kujikomba kwa JK kwa kumtaja kila baada ya dakika moja katika hotuba zake!
Duh! Ndo maana JK aliingia mkenge au? 😀
 
Magu ni mtu wa visasi sana mbaya zaidi amejaa kiburi, majivuno na dharau. Anavyotembea huku akiwa amezungukwa na walinzi wenye silaha basi anajiona ataishi milele
Sijui kuhusu wahutu, lakini nimeshaona wasukuma wenye sifa kama hizo. Ila kwenye roho kutu ndo mpya kidogo. Ila the rest hapo umepatia kabisa.
 
Nani kama Magufuli katika kuchapa kazi? kama hauamini nitafutia viongozi 10 wenye uwezo wa kusimamia sheria katika nchi hii kama Magufuli.Tuache wachache wazarendo wenye uwezo wa kusimamia sheria kama nguzo mama kwa taifa lolote lenye dira ya maendeleo watufundishe namna ya kuheshimu sheria.
Umeongea kama mzee wa Chato. “Wazarendo” hoye!
 
Hahahahaha... kumbe na chat na kichaa anaitwa ushuzi....!! Basi bwana
Wewe ndiyo kichaa kwani ni chanzo cha U- uchoko, C- crazy D- dandiwa mgongoni na Cyprian msiba, kumbuka nikikuonya tokea kitambo uache ufala tusimame kwenye mada lakini hutaki sasa ngoja niendelee kuchambua kirefu cha UCD mpaka uache Ungese wako.
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Naona hii mbegu imeota sasa
 
ni jambo lisilotakiwa hata kidogo kwa kiongozi kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hisia au motives.Huyu bwana nilimsema huko nyuma kuwa alitoa amri ya kuvunja nyumba Morogoro road kwa kutumia sheria iliyopitwa na wakati hadi Pinda alipoingilia kati.leo hii anafanya kitu kinachofanana na hicho na mengine mengi yaliyowahi kuandikwa humu kama vile kuwakomoa watu ambao hawakumpigia kura kule jimboni kwake.sasa hizi kama sio emotions na motives ni nini?nasema tena mtu anayependa sifa hafai kuongoza watu kwa sababu anaongozwa na hisia na motives!
dah!!! uliona mbali mkuu maana sasa hivi kamaliza morogoro road yote.
 
akimbie tu maana huyu mtu anakuweka jera kwa kesi isiuodhaminika . kuja kujulikana kwamba sio mhusika usha kaa miaka mitano jera
 
akimbie tu maana huyu mtu anakuweka jera kwa kesi isiuodhaminika . kuja kujulikana kwamba sio mhusika usha kaa miaka mitano jera
Kuna mbinu inatumika sasa kuwakomoa wenye Visasi Visasi na Mtukufu malaika toka chato, mbinu mojawapo ni kusema uchunguzi haujakamilika huku mtuhumiwa akisota jela kwa mateso, Awamu hii ya tano wanatumia katiba ya marehemu idd Amin Dada na katiba ya marehemu Mabutu wa Zaire kuitawala Tanzania ni mwendo wa Uonevu na Visasi kwa kwenda mbele ni utawala dhalimu.
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Magufuli anawachukia mainjinia sio kawaida! Yaani huwa anawavumilia basi tu hana la kufanya. Nahisi labda alitaka kusoma uinjinia akawa hana qualifications za kutosha, sasa ana hasira na mainjinia.
 
Back
Top Bottom