Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli


Kwahiyo huyo unaemtetea ndio haongei kwa dharau?
 
barabara zenyewe ni substandard.rushwa oyeee.
 
Una point lakini hii laundry yako imenichekesha mpaka nikapaliwa. Ni money laundering
Ndio kashapotezwa hivyo, hujasikia kapewa kesi ya money laundry? Money laundry ni mbaya kuliko kuhujumu uchumi, money laundry haina dhamana.
 
Hata kama una BIFF naye la PRIMARY, lazima AKUSHUGHULIKIE
ZZK aliniudhi sana kwa jinsi alivyotengengeneza 'uasi' ndani ya cdm lakini kuna mambo anakuwa na maono sahihi kwa taifa. Mfano mzuri ni pale alipokuja na wazo la tume ya maridhiano ya kitaifa (kama walivyoanya Afrika ya Kusini). Hili wazo alilileta mapema sana wakati JK bado yuko madarakani maana kama fisiemu wenyewe walivyokuwa wanasema kuwa "ni nani msafi kati yetu?", ni wazi naye alijua hili taifa hakuna wa kumonyesha mwenzie kidole labda pale tutakapokubaliana kuwa uanzie point fulani.

Mbali na hapo ni kuendelea kuwatafuta tuliotofautiana nao primary wakati tunafanya PhD sasa! Au kuwalamu wananchi wa Iringa kwa 'makosa ya kutomchagua' fulani wakati mtu huyo huyo na fisiemu wenyewe alipogombea hawakumpitisha.
 
Poppe hawa watoto tunawajua hata Nyerere walimchukia tena wakiwa jwtz, ajabu baba yao alikuwa polisi aliipenda nchi yake alikufa vitani akiitetea Tanzania, lakini watoto kama huyu wa TATOA anaendeleza chuki zake pia reli inawatia joto tumbo. Raisi hajazuia malori, barabara zimejengwa zinaendelea kujengwa ili gari zote zipite humo yakiwemo malori makubwa na madogo! Tatizo liko wapi?
 
jamàa keshajumlishwa kwenye msala wa Simba na akimbwela magenge yatampasua. Aliyeruhusiwa kukosolewa ni JK tu wengine ni watukufu
 
Acha Uongo wako siku hizi hana tatizo na huyo Mtukufu malaika toka chato bali kaamua kumkomoa kwa Visasi Visasi vya huko nyuma, Nchi inaongozwa na washamba lazima vituko viendelee
 
jamàa keshajumlishwa kwenye msala wa Simba na akimbwela magenge yatampasua. Aliyeruhusiwa kukosolewa ni JK tu wengine ni watukufu
inasemekana alikaa sehemu kwenye mazungumzo akamponda Mtukufu malaika toka chato kumbe kulikuwa na mpambe akamrecord akampelekea kila kitu ndipo Mtukufu magufuli akasema tafuta upenyo lazimisha foji hata sahihi yake aingizwe kwenye hiyo kesi kwa nguvu, kisha akiwa jela wamuongezee kesi zingine nyingi zaidi, Visasi vya namna hii havina tija kwa Taifa na havileti maendeleo kamwe.
 
Mbwa sasa amekuwa mwenye Mbwa, kazi kweli kweli
 
acha urongo mkuu
 
Kama kuna mambo huyu Magu kayashughulikia kikamilifu na kwa 100% basi haya:

1. Kuwashughulikia kikamilifu wabaya wake wote a.k.a kulipiza kisasi kikamilifu

2. Kuwadhibiti kikamilifu wakosoaji wake wote, ikiwemo kuwaua na kuwatupa jela

3. Kukusanya kudhibiti PESA zote, na kuzigawa yeye binafsi ATAKAVYOJISIKIA
 
Bila shaka atakuwa kajificha kwa babu zake ujerumani anatuchora tu humu tunavyomjadili
 
Acha Uongo wako siku hizi hana tatizo na huyo Mtukufu malaika toka chato bali kaamua kumkomoa kwa Visasi Visasi vya huko nyuma, Nchi inaongozwa na washamba lazima vituko viendelee
Ushuzi tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…