Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Bora njia ya reli ifufuliwe tu,Usafirishaji wa bidhaa kwenda sokoni kupitia barabara ndiyo umeufikisha mfumuko wa bei hapa ulipo.I think Magufuru's attitude towards Transporters is a blessing in disguise!!
Hiki kisasi ndiyo kinamtafuna Zakaria Hans mpaka sasa, huu ni utawala wa visasi kwa 100%
 
mmh
 
Yuko DR Congo ana kibarua cha kufundisha waasi

Sijui yuko wapi lakini kama bado yuko hai atakuwa amezeeka sana

Eugine Maganga ni marehemu kwa sasa. Aliugua ugonjwa wa kisukari na baadaye kufariki. Apumzike kwa Amani.
Mkuu wakati wa kesi ile nilikuwa ndio niko chuo, kwakweli nilikuwa naifuatilia kwa karibu sana hasa sio kwa kufurahia uasi au mapinduzi bali ujasiri wa hao maofisa vijana wa jeshi.
Na kama inteligensia ya wakati ule ingekuwa hii ya sasa ya kufuatilia watu wa mitandao, nani hamsifu nano na mambo ya kibashitebashite hakika hao wakina Hanspope na wenzake wangeibadilisha historia ya nchi hii
 
Zinatafutwa kila sababu kuhalalisha haramu na kuharamisha juhudi za kiongozi wetu
 
Uongozi wa visasi haujengi, ndio maana kiongozi unatakiwa kuwa na ngozi ngumu kukubaliana na unaotofautiana nao na hata wale unaotifautiana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…