huu ujinga ndio Nyerere aliukataa watu wakamuona mjamaa, hapendi maendeleo ya watu e.t.c kumbe ni kuzui nchi kuwa held hostage na wafanya biashara uchwara.nafikiri ni muhimu kwa serikali yetu kufikiria jinsi wanavyoweza kuimarisha reli ili kuondoa kabisa kutegemea hawa watu wa malori. usafirishaji kwa njia ya reli ni bora kuliko malori yanayoharibu tu barabara. kama wakigoma najua athari zitatokea lakini hata zikitokea, wataiamsha serikali kuimarisha reli ili kupunguza utegemezi kwa maloli.
nafikiri ni muhimu kwa serikali yetu kufikiria jinsi wanavyoweza kuimarisha reli ili kuondoa kabisa kutegemea hawa watu wa malori. usafirishaji kwa njia ya reli ni bora kuliko malori yanayoharibu tu barabara. kama wakigoma najua athari zitatokea lakini hata zikitokea, wataiamsha serikali kuimarisha reli ili kupunguza utegemezi kwa maloli.
Nakuunga mkono,hawa ndio hawataki reli inaoonekana wamemonopolize sekta ya usafirishaji,Serikali iimarishe reli kukiwa na ushindani hawana wakumgomea.
Kwa hiyo hawa watakosa pesa za kunywea?
Hivi huyu ndie Kamanda Mpinga? ni sheria kweli kunywa na uniform za kijeshi?
Kwa hiyo hawa watakosa pesa za kunywea?
Katika maelezo yako hakuna tuhuma dhidi ya Magufuli, umezungumzia sheria mbaya na watendaji wabovu, hapo Pombe anahusika vipi? Hayo tuaache, hivi kwa mtu mwenye akili anaweza kulinganisha barabara za Botwana, Afrika Kusini na Australia na za hapa Tanzania? Hivi kweli mtu huyu yuko serious au ana chuki binafsi na Magufuli!
Kwa kifupi ni kwamba, huwezi kulinganisha nchi za wenye akili na ya kwetu kwenye nyanja yotote ile, iwe ni kwenye elimu, michezo, sayansi, miundombinu, uwajibikaji wa serikali, usafirishaji, fedha na uchumi. Sisi ni uzembe, rushwa ufisadi na ukandamizaji wa haki za raia ndo mwendo wetu. Magufuli anajitahidi sana kumbuka wizara hiyo walishapewa akina Chenge na Kawambwa lakini waliondoka hata barabara moja haikukamilika bali gharama za ujenzi wa Km moja ya Lami ili shoot...why?
In a nutshell magufuli anaonekana na watanzania kama mtu hodari na mchapakazi , kiuhalisia mimi naona kinyume chake.
Binafsi si msafiishaji wala sina uhusiano wowote na sekta hiyo , lakini ninasafiri sana kwa barabara nchi karibu zote za Sadc ,Suala la mizani na sheria zake zinazidi Kuwa tight hapa kwetu pengine kuliko nchi nyingine za sadc, na pengine ndo tunaongoza kwa rate ya uharibifu wa barabara kuliko wenzetu kwa sababu ya ubabe wa mtu mmoja tu, MAGUFULI !!!
Uharibifu wa barabara. Kwa kiasi kikubwa unatokana na sheria mbovu zilizowekwa na kusimamiwa na viongozi husika,kulalamkikia wasafirishaji ni sawa na kuficha ukweli wa tatizo, si kweli kuwa tunabeba mizigo mizito sana. Bali tuna utaratibu mbaya wa kubeba mizigo ndo maana barabara zetu hazidumu.
Kuna mawili huwa nafikiri dhidi ya wizara hii na watendaji wake, either wananufaika na rushwa kutoka kwa wasafirishaji hivyo wanaopt njia ambazo hazitatui tatizo bali kuiongezea.mzigo serikali na mtu wa kawaida au hawajui na hawako serious kuboresha pengne kuondoa kabisa sheria kandamizi zinazopelekea watu kutocomply.
Mfano Botswana idadi ya juu ya axle ni 9 urefu mwanzo hadi mwisho ni mita 22, hapa kwetu ni axle 7 na urefu hautakiwi kuzidi mita 17!!! put it simple unapokuwa na axle nyingi ndio unavyozidi kutetea barabara na the opposite is also true,
Ningekuwa mimi ndo magufuli nijuuliza swali moja kwa nini south africa wanabeba mizigo mizito yet road network zao zina lifespan kubwa kuliko zetu na pia hawana idadi kubwa ya mizani kama sisi . Na bado wakifika Tunduma wanaona ni afadhali kuoffload mizigo na kupakia kwenye malori yetu??
Hivi kuna hasara gani Tanroad ikiruhusu axle 9 na urefu ukawa 22 metre! !! Kwa nini Trailers za Inter link ambazo zinatuika karibu africa nzima hapa kwetu ni marufuku? remember Austalia wanabeba mpaka tani 80 kwa kuongeza idadi ya axle na kuto limit urefu! Na bado barabara zao zinadumu.
Mimi nasema hivi Magufuli akaze kamba kabiasaa haka ka ugomvi huenda kakatutoa watanzania. Mizigo yote siku zote inatakiwa isafiri kwa reli tu kupita barabarani iwe last resort huku kwetu ni kinyume reli imekua last resort matokeo yake gharama ya maisha inapanda na mbaya zaidi barabara zetu hazidumu kwa sababu ya kuelemewa. Kingine ajali zinakua nyingi ukizingati ni vijibarabara na wote tuna banana humo. Ni wakati mwafaka kwa Mwakyembe naye kuamka na kuimarisha reli zote ili zibebe mizigi hiyo. Kwa hili Magufuli namuunga mkono kwa sana!
Umenena FF. Magufuli na TANROADS wamezidi ubabe.Hizo barabara zimejengwa ili zikae urembo? wanaozidisha wanalipa faini na wasiozidisha wanapeta.
Kumbuka, barabara hata kama hukuitumia inaharibika.
Hizo barabara zimejengwa ili zikae urembo? wanaozidisha wanalipa faini na wasiozidisha wanapeta.
Kumbuka, barabara hata kama hukuitumia inaharibika.
Wakati Magufuli anaagiza magari yaliyozidi uzito yazuiwe, Mwakyembe aliendesha gari hadi kwenye mizani kwenda kuyakwamua mabasi mawili mapya mali ya raia wa Zambia, yaliyokuwa yamezuiwa (na Magufuli) eti hadi faini ya uzito ikalipwe Dar es Salaam, tena hadi Jumatatu kwani siku hiyo ilikuwa week-end! Nadhani hata Mwakyembe huwa anamshangaa sana Magufuli!
Na yale ya Rizi nayo yatagoma!! Tusubiri tuone...
Inaharibikaje kama haitumiki? Umeniwacha njia panda.
Magufuri mtu makini sana wanabeba mizigo mizito sana wanatuharibia barabara.
nasikia ndiye.Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???