Je barabara isipotumika itaharibika kwa kiwango kile kile pale inapotumika kubeba mizigo iliyozidi uzito?Hizo barabara zimejengwa ili zikae urembo? wanaozidisha wanalipa faini na wasiozidisha wanapeta.
Kumbuka, barabara hata kama hukuitumia inaharibika.
Hoja gongana
Well said mkuu, jamaa hawa hawamtaki Magufuli kutokana msimamo wake na anaelewa ubaya wa magari ya mizigo kuzidisha uzito - barabara zinagharimu fedha nyingi sana kuzijenga na kuzikarabati, unlike permanet way ya reli ambayo haigharimu sana kui-maintain unless kukitokea derailment kubwa ya kuharibu mataruma, nayo ni nadra sana. Mambo ya kudai eti Magufulini sio injinia hayana mshiko wowote - Magufulini ni mwana sayansi yuko well versed na nyanja zote za Sayansi including Engineering sio mbumbumbu kama wafanya biashara wanavyo mfikiria, wala siwezi kushangaa kama baadhi ya Wafanya kazi wizarani mwake nao wanachangia kutaka kumkatisha tamaa Mzalendo Magufuli wakishirikiana na Wafanya biashara wakubwa wa malori ili aondolewe wizarani, kuna kamkakati ka aina fulani hapa si bure. Hakuna Serikali ambayo inaweza kuruhusu watu wenye nguvu za fedha kufanya wapendalo bila ya kufuata sheria, tukilaza damu tukakosa kuwa wangalifu katika utunzaji wa barabara zetu kwa kuogopa lawama za uongo na kweli, basi effort zote za utawala wa JK katika nyaja za miundo mbinu za babaraba zitakwenda na maji - tukumbuke matajiri wa malori wanacho jali ni kusafirisha mizingo bila kujali uzidishaji wa uzito wa mizigo inapo bidi. Mimi nashindwa kuelewa kwa nini Serikali yetu inaonekana kusua sua katika suala la kukarabati/kujenga upya reli yetu ya kati, kwa nini hachangamkii suala hili? - 'am sorry kusema sioni kama kuna dalili zozote za kipa umbele katika suala hili!! Jana ndio niliona gazetini tenda ya kujenda/karabati reli ya kuzunguka Dar na siyo ya kwenda Bara. Swali ni, lini Serikali itahanza kutandika reli mpya yenye standard gauge kwenda Bara, kwa nini project hii amuwapi Wachina ambao wengechukua muda mfupi kuikamirisha badala yake tunakimbilia kwa Wajapan ambao hatuna uhakika kama watatujenga reli kweli au la, wenzetu wa Kenya na Uganda watatuzidi kete baada ya kuomba msaada kutoka kwa Wachina ili wa modernise reli yao 2 standard gauge, narudia kuhoji tena hapa kwetu kuna nini lakini? Au cartel ya wasafirishaji wa barabara ndio wanaweka spana katika utandikaji wa reli mpya kwenda bara - I might be wrong, lakini lolote linawezekana katika Taifa letu - ucheleweshaji wa utandikaji wa reli mpya kwenda bara siwa kawaida hata kidogo! Hata kama wenzetu usema "there's no hurry in Africa" binafsi katika hilo naona Tanzania tumezidi kuwa dead slow kuanzisha Project ya ku-modernise reli ya KATI ambayo ni lifeline ya TAIFA letu kusema ukweli.Magufuri mtu makini sana wanabeba mizigo mizito sana wanatuharibia barabara.
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye anachuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.
Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza jwa nini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.
Amesema Magufuli ndio waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo. Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.
Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.
Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho. Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???
Je barabara isipotumika itaharibika kwa kiwango kile kile pale inapotumika kubeba mizigo iliyozidi uzito?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu sio vizuri kusema kwamba ma Contractors wa Kichina wanajenga au kuhunda/majengo/barabara ambavyo ni Sub-Standard, umewahi kusafiri na reli ya Tazara iliyo jengwa kwenye maika ya sabini ukangalia reli, majengo na madaraja yalivyo jengwa? Si rahisi kubeza Wachina ambao walihunda mabomu ya thermonuclear kwenye miaka ya sitini, ndege za vita na mizigo, maroketi ya kubeba binadamu na mizingo, ni kitu gani ambacho Wachina hawana utaalamu nacho? Nakubari kuna baadhi ya Ma Contractors wa Kichina wajaja janja lakini hata nchi za magharibi wajanja hao wapo, mbona Taifa letu liliwahi kuwatimua ma contractors wa kutoka Ulaya walio fanya kazi zao shoddly; chukulia mfano wa barabara ya Kilwa - kuanzia Bendera tatu mpaka Mbagala mbona Wajapan wamelazimishwa kuikarabati upya, barabara hiyo ilianza kubomoka kabla haijakabidhiwa Serikalini!!Naona Magufuli Anacheza Poly Tricks!! Anajua wazi barabara zilizojengwa na Chinese Contractor's ni Sub-standard!! Na huwa zinabomoka always pindi zinapotumika sasa anatafutia pa kuficha uso wake!! Poor My Country TANZANIA
Inaharibikaje kama haitumiki? Umeniwacha njia panda.
Magufuri mtu makini sana wanabeba mizigo mizito sana wanatuharibia barabara.
Mjinga huyo, tena wanatakiwa watozwr zaidi. Malori yanaharibu barabara
Well said mkuu, jamaa hawa hawamtaki Magufuli kutokana msimamo wake na anaelewa ubaya wa magari ya mizigo kuzidisha uzito - barabara zinagharimu fedha nyingi sana kuzijenga na kuzikarabati, unlike permanet way ya reli ambayo haigharimu sana kui-maintain unless kukitokea derailment kubwa ya kuharibu mataruma, nayo ni nadra sana. Mambo ya kudai eti Magufulini sio injinia hayana mshiko wowote - Magufulini ni mwana sayansi yuko well versed na nyanja zote za Sayansi including Engineering sio mbumbumbu kama wafanya biashara wanavyo mfikiria, wala siwezi kushangaa kama baadhi ya Wafanya kazi wizarani mwake nao wanachangia kutaka kumkatisha tamaa Mzalendo Magufuli wakishirikiana na Wafanya biashara wakubwa wa malori ili aondolewe wizarani, kuna kamkakati ka aina fulani hapa si bure. Hakuna Serikali ambayo inaweza kuruhusu watu wenye nguvu za fedha kufanya wapendalo bila ya kufuata sheria, tukilaza damu tukakosa kuwa wangalifu katika utunzaji wa barabara zetu kwa kuogopa lawama za uongo na kweli, basi effort zote za utawala wa JK katika nyaja za miundo mbinu za babaraba zitakwenda na maji - tukumbuke matajiri wa malori wanacho jali ni kusafirisha mizingo bila kujali uzidishaji wa uzito wa mizigo inapo bidi. Mimi nashindwa kuelewa kwa nini Serikali yetu inaonekana kusua sua katika suala la kukarabati/kujenga upya reli yetu ya kati, kwa nini hachangamkii suala hili? - 'am sorry kusema sioni kama kuna dalili zozote za kipa umbele katika suala hili!! Jana ndio niliona gazetini tenda ya kujenda/karabati reli ya kuzunguka Dar na siyo ya kwenda Bara. Swali ni, lini Serikali itahanza kutandika reli mpya yenye standard gauge kwenda Bara, kwa nini project hii amuwapi Wachina ambao wengechukua muda mfupi kuikamirisha badala yake tunakimbilia kwa Wajapan ambao hatuna uhakika kama watatujenga reli kweli au la, wenzetu wa Kenya na Uganda watatuzidi kete baada ya kuomba msaada kutoka kwa Wachina ili wa modernise reli yao 2 standard gauge, narudia kuhoji tena hapa kwetu kuna nini lakini? Au cartel ya wasafirishaji wa barabara ndio wanaweka spana katika utandikaji wa reli mpya kwenda bara - I might be wrong, lakini lolote linawezekana katika Taifa letu - ucheleweshaji wa utandikaji wa reli mpya kwenda bara siwa kawaida hata kidogo! Hata kama wenzetu usema "there's no hurry in Africa" binafsi katika hilo naona Tanzania tumezidi kuwa dead slow kuanzisha Project ya ku-modernise reli ya KATI ambayo ni lifeline ya TAIFA letu kusema ukweli.
Mkuu sio vizuri kusema kwamba ma Contractors wa Kichina wanajenga au kuhunda/majengo/barabara ambavyo ni Sub-Standard, umewahi kusafiri na reli ya Tazara iliyo jengwa kwenye maika ya sabini ukangalia reli, majengo na madaraja yalivyo jengwa? Si rahisi kubeza Wachina ambao walihunda mabomu ya thermonuclear kwenye miaka ya sitini, ndege za vita na mizigo, maroketi ya kubeba binadamu na mizingo, ni kitu gani ambacho Wachina hawana utaalamu nacho? Nakubari kuna baadhi ya Ma Contractors wa Kichina wajaja janja lakini hata nchi za magharibi wajanja hao wapo, mbona Taifa letu liliwahi kuwatimua ma contractors wa kutoka Ulaya walio fanya kazi zao shoddly; chukulia mfano wa barabara ya Kilwa - kuanzia Bendera tatu mpaka Mbagala mbona Wajapan wamelazimishwa kuikarabati upya, barabara hiyo ilianza kubomoka kabla haijakabidhiwa Serikalini!!
kwahakili zako unadhani barabara zilijengwa ili wapite watembea kwa miguu?
Lets see what happens wakigoma. Bandari itasimama na meli hazitashusha mzigo. So kutakuwa na msongamano wa meli bandari ya Dar na kuifanya isikubalike zaidi. Wateja watahamia Mombasa kwa wingi. This will cost Tanzania big time.
kwahakili zako unadhani barabara zilijengwa ili wapite watembea kwa miguu?
Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???
Basi tusibebe mizigo huko mikoani watajiju wenyewe wakihitaji vitu na mitambo
Hizo barabara zimejengwa ili zikae urembo? wanaozidisha wanalipa faini na wasiozidisha wanapeta.
Kumbuka, barabara hata kama hukuitumia inaharibika.