Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

sasa kama makosa yametengenezwa kijanja janja si yatakosa ushahidi huko mahakamani hivyo ataachiwa huru kwann akimbie?!.

humjui malaika wenu yaan anachotaka ni kuwasotesha lumande wale wote anaowachukia. kes yako inakua haina dhamana. unakaa ndani mwaka unashinda kesi au unaachiwa huru na jera usha kaa!! ingekua wanakufungulia kesi za kawaida nan angelaumu!! shida iko kwenye uhujumu uchumi. kapona bashite tuuu
 
Wekeni akiba maneno yenu, hatimaye Magufuli is fighting a former military officer, tena mtu pekee aliyethubutu kuwaza na kujaribu kumpindua Rais Nyerere - he is not just another guy you know ...and he hasn't lost his love for the trigger u know...and he hasn't lost his class you know....sasa wekeni akiba maneno yenu! Hamjiulizi tu Magufuli alikosaje kumkamata? Tulieni
Heee alutaka kumpindua Nyerere ndo masikia leo. Weka nyama kidogo Mkuu.
 
Eti zawadi nono itatolewa kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa alipo Hans Poppe,what a joke?
Halafu wanajua alipo Ila kumkamata ndio hawawezi.
Ngoja niwape clue,yuko Israel,Tel Aviv nendeni mkamchukue.
Hans Poppe alikuwa rafiki mkubwa wa Yoni Netanyahu (mdogo wa Benjamin Netanyahu)who commanded the Israel elite commandos in Operation Entebbe.Iddi Amin Dada angekuwa hai angewasimulia kidogo.
Kila la heri,I have given you the location.
Yule mkuu wa Israeli raid in Entebbe alikuwa ni Netanyahu Sr na aliuliwa kwenye ile operation huyu waziri mkuu wa sasa ni mdogo wake.
 
Kama yalianzia huku basi kuna shida kubwa sana mbeleni kwa ndugu yangu Pope.
 
Yeye anasema Magufuli ana chuki binafsi na transporters, mimi nasema yeye ana chuki binafsi na Magufuli.

Miezi kadhaa iliyopita alikuwa akihojiwa na kipindi cha television (sikumbuki kituo gani), jamaa aliyaongea hayahaya, tena kwa dharau na kebehi kubwa kwa magufuli utafikiri anamuongelea mtoto wake. Nilijiuliza sana huyu jamaa anapata wapi kiburi hiki? Nikahisi kuna nguvu nyuma yake na si bure!

Inawezekana jamaa ana hoja, lakini jinsi anavyowakilisha hoja zake inaudhi.

Simuungi mkono Magufuli, lakini si vema pia mtu kuwasilisha hoja kwa dharau kwa waziri mwenye dhamana!
Leo kawa mkimbizi
 
Back
Top Bottom