Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Unajifariji huku umebana marinda/mkundu ukiwa na maumivu makali na uchungu mkuu. Na bado. Si unaona hadi Allah kala kona kakimbia.

Chezea myahudi wewee
 
Basi msilie lie watoto na wanawake wanauwawa
 
Kaka angu JK alikuwa auwawe juzi? Hii km familia nakusikia wewe ujue Rafiki

Jk ni kaka angu wa damu ujue napokea taarifa za DRC kila baada ya siku ,hii ya JK kutaka kuuwawa ndio nakusikia
Mkuu hii mbona mpaka "Nabii" Uebert Angel "alitabiri" just two weeks ago. I doubt "alitabiri" ila alikua anatoa angalizo au specifically warning
 
Hahahahaha, mkuu hiyo sio mpya ,'Afande' yuko kamili
Ni mpya
Mi niliona siku anatoa hiyo habari after 10 days ikatikea

Na km umemsikia alim alert aondoke hapo kwake
Na taarifa zilimfikia kupitia ndugu!
Hivyo walipokwe sa walimkosa ,Kuna mahali Yuko km alivyoelekezwa
 
Ni mpya
Mi niliona siku anatoa hiyo habari after 10 days ikatikea

Na km umemsikia alim alert aondoke hapo kwake
Na taarifa zilimfikia kupitia ndugu!
Hivyo walipokwe sa walimkosa ,Kuna mahali Yuko km alivyoelekezwa
Okay, ndio nakuambia 'Afande ' yuko kamili
 
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.

View attachment 3058213


Mcheki huyo mrembo, ukiwa huna macho ya Cuba, unaweza dhania ni mrembo na hana lolote, mcheki mikono ilivyojaa kikomandoo na uso wake ni mtu hatari sana..!! 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…