kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.
Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
Hii nchi ya Tz imejaa vilaza wa ccm.
unajua kiingereza ila lugha ya mama yako huijui kuandika.halafu unajiona majanjaaa.Magufuli namuomba ajifunze kingereza hili na yeye afike ulaya.
Wewe kiswahili tu kinakushinda, achana na Magufuli, pambana na hali yako.Magufuli namuomba ajifunze kingereza hili na yeye afike ulaya.
unajua kiingereza ila lugha ya mama yako huijui kuandika.halafu unajiona majanjaaa.
hili=ili.
na wao wasiilete huku ikazidi.tulitonayo inatosha.Sawa mkuu kenya Msiwapelekee corona kaeni kwenu Mjifukize.
Hahahah: Mwenye mamlaka ya kutangaza takwimu za corona zinajulikana,yeye ni nani? Mwaka huu tutaona mengi
Sent using Jamii Forums mobile app