Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

Kenya wancheza mchezo wa kijinga sana, niliwaambia Magufuli ataanza na Rwanda softly, Kenya anafuatia..Uganda ni nchi yetu watanzania tujipigie makofi... shangaa takwimu za vipimo uganda wakenya ndio wnaongoza kwa corona, watanzania wawili au watatu out of 2k people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mkuu wa mkoa huenda hana akili sawa sawa.
Sote tunajua toka awali Tanzania haina utaratibu wa kupima watu wanaoingia nchini. Sasa hao wakenya walipimwa wapi na lini?

Yote kwa yote, maabara zetu za kupima Corona ziliacha kupima wagonjwa baada ya kudaiwa zimejaa usanii mtupu. Sasa sijui hao wakenya tuliwapima kwa thermometer?
 
Kwa Tz ndo itakuwa member of a society lakini not Kenya
corona inachagua mhanga haichaguliwi.

kule us imangusha watu 90 elfu mpaka sasa,usifosi ikaue hivyo tz.kwahiyo hata kule kenya ni corona ndio itaamua iwagaragaze kiasi gani sio mapenzi yenu.
 
Za kuambiwa CHANGANYA na za kwako umeambiwa
 
kwani wewe uliitaka hiyo nafasi ya kulipwa na chama ukaikosa!!!!
Sihitaji kuuwa watz kwa kuwasifia viongozi wanaofanya makosa yanayopelekea watanzania kupoteza maisha yao. Mjue nyie mnayo ya kujibu mbele za Mwenyezi Mungu.
 
corona inachagua mhanga haichaguliwi.

kule us imangusha watu 90 elfu mpaka sasa,usifosi ikaue hivyo tz.kwahiyo hata kule kenya ni corona ndio itaamua iwagaragaze kiasi gani sio mapenzi yenu.

Kwani Kenya imeshafiwa na wabunge watatu ndani ya siku 10 na madc 2 + maji wote corona imewala.
 
Sihitaji kuuwa watz kwa kuwasifia viongozi wanaofanya makosa yanayopelekea watanzania kupoteza maisha yao. Mjue nyie mnayo ya kujibu mbele za Mwenyezi Mungu.
kuliko wabunge wa cdm wanaopotosha watu huku wakijua kabisa lengo lao sio wanalozungumza??
 
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
Achana na hao wapuuzi. Wamewapimia wapi hao madereva?
 
Back
Top Bottom