Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.
Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?
Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?
Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Mkuu technically
una maslahi yoyote yale ya kibiashara au hata ya kijamii na nchi ya Kenya? Naona umeguswa sana huu mtafaruku wa muingiliano wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania kuliko hata ule wa Tanzania vs Zambia na Tanzania vs Rwanda.
Kuwa na subira! Diplomasia itafanya kazi yake.