Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
 
Hiyo ni vita ya kiuchumi baina ya Kenya na tz kama mlikuwa hamjui
 
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Nyumba ya kambale kila mmoja ana sharubu!
 
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
Labda amewapima kwa kuwamulika kwa taa za gari.
Tit for tat.
 
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
Kwa hiyo unasemaje?
 
Ndiyo wamepi
Huyo mkuu wa mkoa huenda hana akili sawa sawa.
Sote tunajua toka awali Tanzania haina utaratibu wa kupima watu wanaoingia nchini. Sasa hao wakenya walipimwa wapi na lini?

Yote kwa yote, maabara zetu za kupima Corona ziliacha kupima wagonjwa baada ya kudaiwa zimejaa usanii mtupu. Sasa sijui hao wakenya tuliwapima kwa thermometer?
Ndiyo
 
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
dawa ya uhuni niuhuni plus ...
 
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Hama we ni mtu huru tuachie nchi yetu WATANZANIA katafute panapo kufaa ...mbona wenzio wa kina MANGE KIMAMBI wameolewa ughaibuni tafuta mtu akuoe upate uraia huko unakotaka
 
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Siku zote binadamu akihisi amechokozwa malipizi yake mara nyingi huwa si hekima wala busara bali ni kumuumiza zaidi muhusika kwa namna yoyote! Corona itaharibu diplomasia ya Africa kuliko ulaya
 
WATANZANIA TUAMKE TULITETEE TAIFA LETU.

Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi

Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.

Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.

Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.

Ole Mushi
0712702602
 
Ungeanza kwa kuuliza wakenya kwanini madereva wao wanaotoka TZ hawana corona ila madereva wote wa TZ wana corona.
 
Mpakani upande wa Kenya wanapima. Kama kanukuu taarifa za upande huo, taarifa hiyo ni sahihi, short of it national laboratory is closed, ni umbeya.
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Kama ni MTZ ina maana na wewe ni MPUMBAVU...Kama ni MKENYA inawezekana ni MSHENZI
 
Nanukuu" Tumechoshwa Kupokea Wagonjwa Wa Corona Kutokea Mombasa Tunafunga mpaka'.

Wakati huu ambapo wiki ya 2 sasa kipimo hakifanyi kazi wanajuaje kwamba wale ni wagonjwa wa corona?

Halafu wakati huo huo bosi wake anasema wagonjwa wamepungua yeye wagonjwa anaowapima anawapeleka wapi?

Hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Hata hivo wewe shetani sio mtanzania

Rudi kwenu somalia

Tuachia Tanzania

Nchi sio yako, inakuwasha nini kunguni wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu unaonewa na nchi ya kipuuzi kama kenya unakaa kimya, ......kama ni vp amia kenya
 
Kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu maabara ya taifa. Taarifa kwa umma iliyotolewa na wizara ya afya iliweka bayana kwamba uchunguzi unaendelea lakini vipimo vitachukuliwa kama ilivyokua hapo mwanzo, sikuona popote wakisema wanasitisha kufanya vipimo.

Tukiweza kuweka hisia na mihemko pembeni itatusaidia sana ksma tsifa na hata kwenye mambo yetu binafsi.
 
Back
Top Bottom